Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Toa kwa moyo mdogo wanguanavyopenda sadaka baba paroko
Toa kwa moyo mdogo wanguanavyopenda sadaka baba paroko
ukija nitakupekekaAisee
Ndo Nasikia leo
Muumini asiependa kutoa sadaka simtaki, bila sadaka vitu vingi vinakwama, ila leo sio haba, sasa kwakua sister maria huwa unasaidia shughuli za kanisa, Mpo wapi wewe na Sakayo niwapitie angalau tukagonge mvinyo, sio mbaya siku moja moja kugonga vyomba na baba yako wa kiroho ,haahhh nilijua tu hapo kwenye sadaka ndio sehem yako
kwahyo unajiandaa kwenda viti virefu
najua ila sio kwenye kanisa la baba parokoToa nawe utabarikiwa
ww mbona ulikimbia kwa baba parokoToa kwa moyo mdogo wangu
Sili hivyo Aiseeukija nitakupekeka
Amina amina usimnyime Mungu sadaka hata siku moja hutafanikiwaToa nawe utabarikiwa
Asante baba parokoMuumini asiependa kutoa sadaka simtaki, bila sadaka vitu vingi vinakwama, ila leo sio haba, sasa kwakua sister maria huwa unasaidia shughuli za kanisa, Mpo wapi wewe na Sakayo niwapitie angalau tukagonge mvinyo, sio mbaya siku moja moja kugonga vyomba na baba yako wa kiroho ,
Hahahanajua ila sio kwenye kanisa la baba paroko
anasisitiza uende na hela nyingi na kama hauna usiende
Hapanaww mbona ulikimbia kwa baba paroko
AmenAmina amina usimnyime Mungu sadaka hata siku moja hutafanikiwa
hahahhh ndio mana sipendi kutoa sadaka kanisani kwako mwisho wa siku zinaishia kwenye viti virefuMuumini asiependa kutoa sadaka simtaki, bila sadaka vitu vingi vinakwama, ila leo sio haba, sasa kwakua sister maria huwa unasaidia shughuli za kanisa, Mpo wapi wewe na Sakayo niwapitie angalau tukagonge mvinyo, sio mbaya siku moja moja kugonga vyomba na baba yako wa kiroho ,
Huyu niachie atakuja tuww mbona ulikimbia kwa baba paroko
natoa sana ila kwako hapana kwakweliAmina amina usimnyime Mungu sadaka hata siku moja hutafanikiwa
Pesa pesa banah inakwamisha mambo mengi sana, sasa unakujaje church bila hata mpunga kidogonajua ila sio kwenye kanisa la baba paroko
anasisitiza uende na hela nyingi na kama hauna usiende
Nilisali sana kwa mwamposa kwani huko ana branchHapana
Mie nasali kwa Mwamposa
Hahaha lazima liwepoNilisali sana kwa mwamposa kwani huko ana branch
kwako sijiiiiiPesa pesa banah inakwamisha mambo mengi sana, sasa unakujaje church bila hata mpunga kidogo