BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Hata mimi nawaza hapa sipati pichahahahh cheka tu mama mchuchu yaan sipati picha
Hata mimi nawaza hapa sipati pichahahahh cheka tu mama mchuchu yaan sipati picha
Usirudie tenaNilikoseaa
Yaan memiss tangaMchunga na mgagani
Kibichi bhanaDada jamaan
Kumbe sio kibua haoSiku hizi Dar wapo wengii,hawa watu wanaokaanga mitaani wanakaanga migebuka kuliko samaki wa baharini,usipojua kutofautisha utadhani unakula kibua kumbe mgebuka
HapanaSio jumatatu
Nimecheka hadi machoziHata mimi nawaza hapa sipati picha
hahahha dj mpk akiwa ukumbini kashalipwa hela yake ila nahisi swala la dj na Mc lee atalipa ili nyimbo yake tu ipigweHahaha
Huyo dj sitomlipa
Cheka mama mchungaji, ila hakijaiva vizuriMmmh Sakayo bwana,nimechekaaa sana
Wanafanana sanaKumbe sio kibua hao
mm jamaan mayonaise yamenishinda acha tu niwe mshamba ata kwenye chips yamenishindaKibichi bhana
Halafu pilau na mayonnaise wapi na wapi..
Wanaume wa dar bhana
hahahha dj mpk akiwa ukumbini kashalipwa hela yake ila nahisi swala la dj na Mc lee atalipa ili nyimbo yake tu ipigwe

HahahaUnamvuruga
Nyie mabinti mnanipa raha sana
Jumanne bhanalkn alisema jumatatu mpk kuweka nukuu
PoleeeYaan memiss tanga
sawa mrs tJumanne bhana
Yuko kijiji
hahahahhah maisha mafupi haya mama mchuchu jichekee tu uondokane na stress za hapa na paleNyie mabinti mnanipa raha sana
Naicheza kwa style ya kwaitohahahha dj mpk akiwa ukumbini kashalipwa hela yake ila nahisi swala la dj na Mc lee atalipa ili nyimbo yake tu ipigwe