Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Bwana weeee mm nilijua nimemkoti lee
Naww huna dogo
Bwana weeee mm nilijua nimemkoti lee
Naww huna dogo
Samahani shem
Alivojibuu kwa shaukuHahaha
Lazima apotee, pilau na mayonnaise ni unakata brake sasa
Thanks MussoLeo katika Historia:
Niwatakie Pasaka njema kwenu na familia zenu kwa ujumla.
HahahaAlivojibuu kwa shauku
Amen![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ni wazuri wakitunzwa vizuri...
Tuwapende, tuwatunze, tuwajali na Tuwalinde..
NAO NI BINAADAM WENZETU.
Ni wazuri sana hata IQ yao iko juu wakipewa nafasi.nawapenda sana![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ni wazuri wakitunzwa vizuri...
Tuwapende, tuwatunze, tuwajali na Tuwalinde..
NAO NI BINAADAM WENZETU.
mmh kazi ipo mambo ya kufikishwa na kutofikishwa unamuoambeaje hapana hayanihusu hayoAmina amina sasa kutakua na semina za wanandoa usikose, mapepo wachafu, majini mahaba kama limekuingia litakemewa, kama mpenzi wako hakufikishi au humfikishi basi jiandae kumfikisha na kufikishwa kileleni
hahahahahMlinzi kapoteeaa ila nyie
Sanaaa aisee ujue sio wote lazima tuoleweHahaha
Hapo kwenye ndoa hapo ooo, wachungaji wanapiga hela sana

hahhahah mwehu ww halaf dj utakua ww ukipiga hainaga ushemeji yaan sipati pichaMc shunie katika ubora wako uku umetupia kimshono chako
hahahhaha baba paroko ni sheedaNaonyeshwa hapo kazini kwenu kuna mdada mmoja hivi, ameweka kitu kwenye kiti chako unachokalia ili usipandishwe cheo, njoo kanisani nitakemea in Jesus name na yatamrudia yeye mwenyewe
haahahhah atakua alikua siliasi au kanywa virobaHivi alijibu yuko siliasi na akili zake
HahahaSanaaa aisee ujue sio wote lazima tuolewe
wengine tupo kwa ajili ya kucheza kwaito kwenye harusi za wenzetu![]()
atakua kafurahi kumuona jerry bado tommy muwekee
ahhahhahMmmmh
ila jaman kwenye chips zipo naonaga snaHahaha
Hakujua maskini