Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nilisali sana kwa mwamposa kwani huko ana branch
Ndiyo ana branch, karibu uje ugongwe neno la uzima utashangaa kama hujawahi pandishwa cheo utashanga wiki ijayo unagongwa umeneja, kama ndoa yako imeingia pepo mchafu basi atang'oka, kama miradi yako imekwama basi njoo chukue neema ya bwana utafanikiwa hallelujah
 
Ameen Baba paroko umenigusa aisee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom