Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Apr 15, 2017 #164,801 Shunie said: Bitoz naomba matokeo ya simba kama mpira umeisha mara ya mwisho kuangalia ilikua half time walikua hawajafunganaf Click to expand... ....... Shunie said: ila si haba lkn mana hao toto wakikamia wanatufungaga Click to expand...
Shunie said: Bitoz naomba matokeo ya simba kama mpira umeisha mara ya mwisho kuangalia ilikua half time walikua hawajafunganaf Click to expand... ....... Shunie said: ila si haba lkn mana hao toto wakikamia wanatufungaga Click to expand...
jerrysonkiria JF-Expert Member Joined Sep 5, 2014 Posts 2,228 Reaction score 2,902 Apr 15, 2017 #164,802 Bitoz said: ....... Click to expand... Toto wanatufungaga kwa hiyo kupata sare nashukuru sana
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Apr 15, 2017 #164,803 AS Alger v Yanga SAA 2;00 Usiku ....
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Apr 15, 2017 #164,806 jerrysonkiria said: Toto wanatufungaga kwa hiyo kupata sare nashukuru sana Click to expand... Si mtarudiana mezani na kushinda? Maana hata Kagera anawapaga vipigo tu lkn safari hii mmeshinda mezani ....
jerrysonkiria said: Toto wanatufungaga kwa hiyo kupata sare nashukuru sana Click to expand... Si mtarudiana mezani na kushinda? Maana hata Kagera anawapaga vipigo tu lkn safari hii mmeshinda mezani ....
jerrysonkiria JF-Expert Member Joined Sep 5, 2014 Posts 2,228 Reaction score 2,902 Apr 15, 2017 #164,808 werrason said: Wa3 ni mayanki wadogo sana asee Click to expand... Walitoka morogoro kufanya uchunguzi mauwaji ya askari wa wanyama pori na wananchi kuchukua mkaa ,,,,kilicho wakuta ni hicho
werrason said: Wa3 ni mayanki wadogo sana asee Click to expand... Walitoka morogoro kufanya uchunguzi mauwaji ya askari wa wanyama pori na wananchi kuchukua mkaa ,,,,kilicho wakuta ni hicho
jerrysonkiria JF-Expert Member Joined Sep 5, 2014 Posts 2,228 Reaction score 2,902 Apr 15, 2017 #164,811 Bitoz said: Si mtarudiana mezani na kushinda? Maana hata Kagera anawapaga vipigo tu lkn safari hii mmeshinda mezani .... Click to expand... Kanuni ndizo zilizoongea
Bitoz said: Si mtarudiana mezani na kushinda? Maana hata Kagera anawapaga vipigo tu lkn safari hii mmeshinda mezani .... Click to expand... Kanuni ndizo zilizoongea
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Apr 15, 2017 #164,812 jerrysonkiria said: Toto wanatufungaga kwa hiyo kupata sare nashukuru sana Click to expand... sanaaa ata mm nimefurahia hii sare
jerrysonkiria said: Toto wanatufungaga kwa hiyo kupata sare nashukuru sana Click to expand... sanaaa ata mm nimefurahia hii sare
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Apr 15, 2017 #164,813 Bitoz said: ....... Click to expand... utani wa ngumi
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Apr 15, 2017 #164,814 Bitoz said: Si mtarudiana mezani na kushinda? Maana hata Kagera anawapaga vipigo tu lkn safari hii mmeshinda mezani .... Click to expand... hahahahhha
Bitoz said: Si mtarudiana mezani na kushinda? Maana hata Kagera anawapaga vipigo tu lkn safari hii mmeshinda mezani .... Click to expand... hahahahhha
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Apr 15, 2017 #164,815 jerrysonkiria said: Kanuni ndizo zilizoongea Click to expand... Tupunguze ushabiki hakuna mwenye uhakika kwamba jamaa alikuwa na yellow 3 ......
jerrysonkiria said: Kanuni ndizo zilizoongea Click to expand... Tupunguze ushabiki hakuna mwenye uhakika kwamba jamaa alikuwa na yellow 3 ......
jerrysonkiria JF-Expert Member Joined Sep 5, 2014 Posts 2,228 Reaction score 2,902 Apr 15, 2017 #164,816 Shunie said: sanaaa ata mm nimefurahia hii sare Click to expand... Alafu kingine ni madogo kwa hiyo tuna wadekeza tu
Shunie said: sanaaa ata mm nimefurahia hii sare Click to expand... Alafu kingine ni madogo kwa hiyo tuna wadekeza tu
jerrysonkiria JF-Expert Member Joined Sep 5, 2014 Posts 2,228 Reaction score 2,902 Apr 15, 2017 #164,817 Bitoz said: Tupunguze ushabiki hakuna mwenye uhakika kwamba jamaa alikuwa na yellow 3 ...... Click to expand... Masaa 72 wametafuta vielelezo vimepatikana
Bitoz said: Tupunguze ushabiki hakuna mwenye uhakika kwamba jamaa alikuwa na yellow 3 ...... Click to expand... Masaa 72 wametafuta vielelezo vimepatikana
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Apr 15, 2017 #164,818 jerrysonkiria said: Masaa 72 wametafuta vielelezo vimepatikana Click to expand... Kwahiyo Kagera hawana akili kukata rufaa km vielelezo vipo wazi Bongo bhana Wote tumehadithiwa tu ......
jerrysonkiria said: Masaa 72 wametafuta vielelezo vimepatikana Click to expand... Kwahiyo Kagera hawana akili kukata rufaa km vielelezo vipo wazi Bongo bhana Wote tumehadithiwa tu ......
jerrysonkiria JF-Expert Member Joined Sep 5, 2014 Posts 2,228 Reaction score 2,902 Apr 15, 2017 #164,819 Bitoz said: Kwahiyo Kagera hawana akili kukata rufaa km vielelezo vipo wazi Bongo bhana Wote tumehadithiwa tu ...... Click to expand... Kujitetea tu wanatafuta
Bitoz said: Kwahiyo Kagera hawana akili kukata rufaa km vielelezo vipo wazi Bongo bhana Wote tumehadithiwa tu ...... Click to expand... Kujitetea tu wanatafuta
Papupi JF-Expert Member Joined Feb 3, 2014 Posts 2,029 Reaction score 3,245 Apr 15, 2017 #164,820 Chama cha mapinduzi(CCM)kupitia ilani yao kuu ya mwaka 2015 inawatakia wananchi wote sikukuu njema ya PASAKA..
Chama cha mapinduzi(CCM)kupitia ilani yao kuu ya mwaka 2015 inawatakia wananchi wote sikukuu njema ya PASAKA..