Makapuku Forum

Pole mkuu mawodini kuna mengi,Mungu yupo100%,nguvu za giza pia zinajitokeza unapoumwa unapswa kusimama katika imani kwamba Mungu yupo na anakuponya,unapoona maluweluwe kemea na kumkumbusha Mungu juu ya imani yako kwake na hauko tayari kumuacha..pole sana sana kwa ulilopitia.

.nilikua na mgonjwa juzi niliiona dunia chungu,namhudumia huku watu wanakata roho,alikua amefaint siku nzima,kuzinduka anaona dead body pembeni,akazimia tena masaa matano jamani,ukitaka kujua vifo vipo nenda hospitali kunatisha,kunakatisha tamaa..tumuombe Mungu sana sana atupe vifo vyema.
 
inaogopesha sana sana
 
Suala la kuuguza ndugu linahitaji moyo sana wa kujitolea

Nakumbuka nililala sana pale MNH almost miezi miwili kwa kuuguza honestly unachoka ila unapata nguvu ndugu wakija kukutembeleeni.
 
Pole sana mama mchungaji
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…