Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Kilawyer tunasema Hii serikali inakiuka haki za binadamu na utawala boraPolisi kusema wataua majambazi wanne mpaka watano ili kufidia polisi wenzao hii imekaaje?
"No body is innocent until proved guilty"
Hata paka alishagundua hilo
....