BATULUNGE
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 392
- 635
Hana jipyaAah Kagame nae
Hana jipyaAah Kagame nae
Mmh lazima kuwepo madudu tu,hv unajua kuna wakati hazipakii watu eti system ya kukata tiket iko down,na wanapanda wenye kadi tu ,na kadi hazikatwi tena walisitsha hilo zoezi,ila unaweza kurenew tu,so hawakujipangaMwendokasi tena?
Hilo bunge litakuwa kibogoyoAah Kagame nae
Morning baba mchungajiGoodmorning family.....muwe na siku Njema
Huko Italy itakuwa released lini?
Na mie hilo walinipa utotoni, enzi za kuangalia sinema za Yesu kwenye kitambaa...Atofautishe sakayo na zakayo
Angekuwa mrefu angepanda juu ya mti kweelihahahhah halaf mbona zakayo yule wa kwenye movie mbona mrefu jamaan tofauti na wanaemsema kwenye bible
Kabisaahahahhah ungekufwaaa
Hahahakaka watu wanamwambiaga sakayo ana jina la kiume kama la zakayo ndio nilipokumbuka hapo
hahahahhhhhNa mie hilo walinipa utotoni, enzi za kuangalia sinema za Yesu kwenye kitambaa...
Nilikuwa napanda juu ya mti ili nisitoe hamsini
Everton ndani ya TanzaniaLukaku kuivaa simba au yanga![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
magazet ya bongo bana
jamaan ameshuka anamfikia Yesu mabegani ndio mfupi huyoAngekuwa mrefu angepanda juu ya mti kweeli
Kumekuchaje mkuu?Sema mkuu
Watakua wanafanya kazi kwa hofuHilo bunge litakuwa kibogoyo
Maduka ya ndani ndani wanafungua saa mbiliWakuu nilikuwa sijui kumbe jumamosi ni marufuku kufungua duka wala ofisi kabla ya SAA 4
Nimejikuta napigia mswaki majivu duh
Hii serikali noma ht kununua vitumbua tusubiri ifike SAA 4
.....
Utaratibu huu unaniudhi sanaMaduka ya ndani ndani wanafungua saa mbili
Hahahajamaan ameshuka anamfikia Yesu mabegani ndio mfupi huyo