AhaaaaaaahWale wote katika kipindi cha mitihani (shuleni/vyuoni) mliokuwa na tabia ya kuwaambia wenzenu kuwa, "sijasoma kabisa", lakini kwenye chumba cha mtihani mlikuwa mnaomba makaratasi ya ziada ya kujibia maswali (extra answer sheets)....nawatakia:-
HAPPY JUDAH's DAY!!!
Sijalifatilia ila lazima litazamwe kwa jicho la 3 ...Tanzania tunaelekeaa wapii ?? Haya mambo tulikuwa tunayasikia na kuyaona kwa wenzetu...Tukio la jana mnalizungumziaje wakuu, Polisi 8 kuuwawa kwa mkupuo sio jambo zuri na inaonekana kuna sehemu kuna tatizo...
Mitaala bora kuliko yote ni polisi kuwa na mahusiano mema na jamii kwani wahalifu wanafahamika na jamiiAisee...inasikitisha sana. Kuna haja ya kubadili mitaala ya mafunzo huko CCP Moshi.
Matokeo ya UEFA EUROPA LEAGUE
Yaani ukiiona hii familia utaumia sanaPole sana kwa mjane
Karibu mkuuOi oi niaje nimeingia lasmi kapuku forum na sitoki
Ahsante bora niwe humu kwa watu ninaoendana naoKaribu mkuu
Sawa mkuu maana inaonekana huko wamekutibua mpaka umeyasema hayaAhsante bora niwe humu kwa watu ninaoendana nao
Karibuuuuuuu mkuuuuuOi oi niaje nimeingia lasmi kapuku forum na sitoki
Wananizingua tu bossSawa mkuu maana inaonekana huko wamekutibua mpaka umeyasema haya
Pole mkuu tujipoze hukuWananizingua tu boss
Ushafika home ...kwanza unatumiaa kinywwajii kipiiWananizingua tu boss
Shemejii yetu uko poaa
Niko poa kabisa shem nambieShemejii yetu uko poaa
Tumekumis mbona unatususa hivooNiko poa kabisa shem nambie
Nitakuja hubby wangu akitoka kifungoniTumekumis mbona unatususa hivoo
Pole sana ila atarudii soonNitakuja hubby wangu akitoka kifungoni