Makapuku Forum

Tulikuwa tukiita " Midfield Battle " mtoto hatumwi sokoni siku hiyo.

Hapo unaeza kuta siku hiyo Fergie akawaanzisha Keane na Nicky Butt kwenye idara ya kiungo, basi hapo ni makwanja na viatu tu halafu baade baadae akaingia Scholes kumaliza game.
Kweli mkuu zama zimebadilika wachezaji wetu ni mafashenisti wa siku hizi
 
Tulikuwa tukiita " Midfield Battle " mtoto hatumwi sokoni siku hiyo.

Hapo unaeza kuta siku hiyo Fergie akawaanzisha Keane na Nicky Butt kwenye idara ya kiungo, basi hapo ni makwanja na viatu tu halafu baade baadae akaingia Scholes kumaliza game.

Siku hizi tunaibiwa jero zetu vibanda umiza
Ushabiki mwingi mpira hakuna
....
 
Tukio la jana mnalizungumziaje wakuu, Polisi 8 kuuwawa kwa mkupuo sio jambo zuri na inaonekana kuna sehemu kuna tatizo...
Ina onekana huko Mkuranga polisi hawana maelewano na wananchi ndio maana haya yanatokea, maana juzi kati kuna wale wa ushuru wa mkaa walipigwa shaba na watu wakachukua mkaa wakasepa hamna uombolezaji au wasemaji ya kuwa nini kilitokea!!!

Polisi wajitafakari!!!

Ila adui/muuaji ni "mnyambis" na yupo gado 8 policemen si mchezow!!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…