Kumbuka kati ya kadi 3 zinazodaiwa kuna mechi haikuoneshwa wala kurekodowa na AzamTv hivyo kuna uwezekano mkubwa hakupewa kadi yoyote ila Simba walijua wazi Hapo ndo pakushika maana " wakosoaji" nao watakosa ushahidiDah soka letu linashuka siku baada ya siku.
Beauty without Brain, secret parts suffer the most.
100 kasoroAna umri gani kwa sasa
Uchochezi mkuuHistoria inahusiana na currently issues
Bila shaka ni dansa huyu
Ni kweli,kwa sababu tunapaswa kushiriki mateso na kuvumilia kuacha vile tunavyopenda zaidi,its more symbolic as Jesus passed through much pains more than two thousand years ago,na sio nyama to all luxuries tunaweza kujikatalia na kufanya matendo mema,kuhudumia wahitaji na kuongeza upendo kwa wenzetu,tukumbuke kuwa matendo mema na upendo ndio amri kuu.unaweza kuacha kula nyama ukakosa upendo unakua hakuna ulichofanya...mbarikiwe wapendwaLeo hakuna kula nyama chomaa
Huo nao ni ugonjwa mwingine
Baadhi tu ndio waliachiwa.Nilisikia walizalishwa vipi kuhusu kuokolewa?
Na Ronaldo keshaanza "Inzaghi style" maana anazeekaIla kama mabeki wa kizazi hiki ni wazembe na walaini sana.
Mastraika pure kama akina Inzaghi, Raul na hata Shevchenko walishindwa kufikisha japo goli 80.
Hao nao wayamalize tu
Yaaah ila sijui itakuaje,kwa wahusika sio habari njemaCAG kutumbuliwa itakuwa ngumu maana hafanyi kazi kwa mihemko
Nyagei!Akikusikia le papaa werrason mimi sipo
Kwani 1800's FBI walikuwepo?John Wilkes Booth ndio alikuwa muuaji wa Rais huyu.
Vifo vya Marais Lincoln na JFK vina ufanano wa hali ya juu sana.
Ndio maana wengi wao huamini kuwa vifo hivyo vilipangwa na havikutokea kwa bahati mbaya.
Ukweli mtupu. Tutabaki na ligi yetu ya kibabaishaji na viongozi wasiojitambua huku soka likizama.Kumbuka kati ya kadi 3 zinazodaiwa kuna mechi haikuoneshwa wala kurekodowa na AzamTv hivyo kuna uwezekano mkubwa hakupewa kadi yoyote ila Simba walijua wazi Hapo ndo pakushika maana " wakosoaji" nao watakosa ushahidi
Mimi Yanga damu lakini Simba msimu huu wapo vizuri toka ligi ianze ila hizi point za mezani zitaondoa heshima yenu ya ubingwa pia itachangia kupunguza mvuto na ushindani mechi zilizobaki
.........
Amen ubarikiweHabarini za asubuhi wana kapuku!!!
Nawamiss sana, Muwe na ijumaa njema!!!
Tudumishe upendo, amani na kusamehe waliotukosea!! Tuanze maisha mapya kiroho tukiwa wasafi zaidi!!!
Goodmorning Papaaa ubarikiweGoodmorning family
Kesho inazamaIlizama kesho yake yaani tarehe 15.
Ilileta madhara makubwa sana kwa inakisiwa watu takribani 1500 walipoteza maisha.
Ndio ajali kubwa ya majini iliyoua watu wengi katika karne ya 20.