Bhinamu iko hivi Kamati ya saa 72 iliyokaa kikao jana April 13 na kuamua kuhusu malalamiko ya Simba kwaKagera Sugar kuhusu kumtumia mchezajiMohamed Fakhi katika mchezo dhidi yao April 2 2017 akiwa na kadi tatu za njano kinyume na taratibu na kanuni za Ligi.
Simba walipeleka malalamiko hayo katika bodi ya Ligi na kuomba ipitie ripoti za waamuzi ili kujulikana ukweli, na jana April 13 kamati ya saa 72 chini ya mwenyekiti wake Hamadi Yahaya ilikaa na kujiridhisha kuwa Kagera walikiuka taratibu hizo kwa mujibu wa Kanuni Simba wamepewa point zote tatu za mchezo dhidi yao....ndo hivo mkuu