Makapuku Forum

Makapuku Forum

3737c4e358244f13ed6c8fd0388e1024.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Zimepungua..nilikua nawagonjwa serious wawili Muhimbili na hospital nyingine namshukuru Mungu mmoja ameruhusiwa jana Wa Muhimbili saa hizi ndio tunakamilisha kutoka,asanteni sana kwa maombi Mungu awabariki
Tunashukuru mama mchungaji

Nanyi Mungu azidi kuwapigania na kuwajazeni nguvu katika kipindi hiki kigumu
 
Back
Top Bottom