Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kutoka Kwa Meya wa Manispaa ya Ubungo

*TUME YA MAADILI YAKUBALI MASHITAKA DHIDI YA RC MAKONDA*

Ndugu waandishi wa habari, kwa heshima kubwa ya kutambua nafasi yenu muhimu kwenye jamii, nimewaita hapa ili tushirikiane kuujuza umma kwamba tupo kwenye wakati mzuri wa haki kuonekana ikitendeka dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ambae kwa vielelzo vyote anatambulika kama Daudi Albert Bashite lakini wengi wanamfahamu kama Paul Makonda.

Ndugu waandishi wa habari, huu ni mwanzo, na kwa hakika ni mwanzo mwema wenye kuashiria kuwa mwisho wa Daudi Bashite umewadia.

Ndugu waandishi wa habari, ntakumbuka kuwa 22 Machi 2017 mwaka huu, niliwasilisha mashitaka yangu dhidi ya Daudi Bashite kwa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma, kutaka achukuliwe hatua za kinidhamu kwa kukiuka maadili ya utumishi wa umma na kukosa sifa yakuwa kiongozi si tu DSM bali Tanzania kwa ujumla.

Mashtaka yangu tume yalikuwa ni yafuatayo;

1. kugushi vyeti vya kitaaluma kuliko fannywa na RC makonda huku akijua fika kuwa vyeti anavyotumia vya taaluma si vyake wala si muhusika hivyo kujiita PAUL CHRISTIAN MAKONDA huku akijua fika kuwa yeye ni DAUDI ALBERT BASHITE, amekiuka sheria za nji nakutenda jinai.

2. kula kiapo cha utii na uaminifu mbele ya Mheshimiwa Rais kwa uhusika wa kugushi ni kosa kubwa sana kisheria,huku akijua fika kuwa Rais alipaswa amuapishe yeye kama DAUDI ALBERT BASHITE na siyo PAUL CHRISTIAN MAKONDA.

3.kujipatia Mali kama magari na vinginevyo kinyume na maadili ya viongozi wa umma, ambapo zawadi zote unazopokea unapaswa kutangaza hadharani, ikiwemo kupata mali hizo kwa wahusika ambao amekuwa akiwatangaza hadharani na kuwatuhumu kujihusisha na uuzaji wa madawa ya kulevya.

4.Kukiuka Misingi ya utawala bora haki za binadamu na utawala wa sheria kwa kutuhumu watu ovyo hadharani kuwa walijihusisha na biashara ya madawa ya kulevya kabla ya kukutwa na hatia na kisha wengine kuachiwa huru baada ya kubainika hawakutenda makosa hayo; kinyume kabisa na sheria ambapo mtu anatakiwa kutangazwa hadharani anapokutwa ametenda makosa.

5. Shitaka la mwisho lilikuwa ni la Uvamizi wa kituo cha kirusha matangazo ya redio na runinga cha Clouds media, ambapo akijua kuwa maadili ya viongozi wa umma, hayaruhusu kiongozi kushurutisha au kulazimisha jambo lolote kwakutumia madaraka yake kama kiongozi, ambapo mtuhumiwa alitenda kosa la kutaka kutumia nguvu kurusha kipindi cha kumkashifu Kiongozi wa dini wa Maknisa ya Ufufuo na Uzima almaarufu kamam Askofu Josephat Gwajima.

Ndugu waandishi wa habari, jana Aprili 12, nilipokea barua kutoka kwa Kamishna wa Tume, *Jaji Harold R Nsekela* akinijulisha kuwa Tume ya maadili ya viongozi wa Umma imekubali Mashtaka yangu dhidi ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, na kunitaarifu kuwa wameanza kuyafanyia kazi mashitaka yote.

Ndugu waandishi wa habari, taarifa hiyo ya Kamishna wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma, imetoa mwanga mkubwa kwamba HAKI ambayo wengi wamekuwa wakiiomba, sasa Mwanga umeanza kuonekana.

Hivyo niwaombe wapenda haki wote popote walipo tushirikiane kwa hili ambalo mkuu wa mkoa amekuwa ni kero jijini Dar es salaam, Tupeane ushirikiano wa kuniongezea vielelezo vingine zaidi ya vile nilivyowasilisha Tume yaani vyeti na nakala zingine za mali kama nimesahau jambo lolote.

Mimi mlalamikaji na mashahidi wangu muhimu tupo tayari, mbali na matukio ya utekwaji na upoteaji wa watu lakini tumeendelea kutaka kuona mwisho wa kero hii jijini Dar es salaam, hivyo wakati wowote shauri litakapo anza kusikilizwa kwenye baraza la maadili ya viongozi wa umma, tutakuwa mstari wa mbele kutaka haki itendeke.

Wenu
Katika upiganiaji haki

BONIFACE JACOB
MSTAHIKI MEYA
MANISPAA YA UBUNGO
 
b07659f237949132115cc99cfda3d713.jpg
5aee68368a6cebc01adab60ebb8bd272.jpg
0732ca65e2c5219f04e0e2241723e45d.jpg
 
UPDATE ZA TRANSCEND

d543068c22018355480140371fbf58d2.jpg

Rais wa korea kaskazini kim jung-un akizindua wa ujenzi wa makazi huko Ryomyong katik jiji la Pyongyang.
3921ab97c9327f5244bda0500aaac2cd.jpg

Rais wa korea kaskazini kim jung-un alipowasili kwa ajili ya uzinduzi wa ujenzi wa nyumba za makazi huko Ryomyang jijini pyongyang leo

1e88f893093f75e001824840745a1402.jpg

Eneo linalo aminika kuwa kuna majaribio ya kombora la nyuklia litafanyika jumamosi hii. Kumekuwa na shunguli ngingi sana kwa siku za hivi karibuni.

Russia wako upande wa N.korea wakipinga mashambulizi ya marekani zidi ya syria na N.korea

China wako upande wa wamarekani tayari...na baadhi ya mataifa ya Nato.

Vuguvugu linaendelea huko asia...

Hii weekend inaweza kuwa na matukio ya kutisha.
Usitutishe hivyo kusema mambo ya kutisha au kwa kuwa ulikuwa Sudan boss.

BTW haya matukio yanahatarisha maisha ya wasio na hatia
 
UPDATE ZA TRANSCEND

d543068c22018355480140371fbf58d2.jpg

Rais wa korea kaskazini kim jung-un akizindua wa ujenzi wa makazi huko Ryomyong katik jiji la Pyongyang.
3921ab97c9327f5244bda0500aaac2cd.jpg

Rais wa korea kaskazini kim jung-un alipowasili kwa ajili ya uzinduzi wa ujenzi wa nyumba za makazi huko Ryomyang jijini pyongyang leo

1e88f893093f75e001824840745a1402.jpg

Eneo linalo aminika kuwa kuna majaribio ya kombora la nyuklia litafanyika jumamosi hii. Kumekuwa na shunguli ngingi sana kwa siku za hivi karibuni.

Russia wako upande wa N.korea wakipinga mashambulizi ya marekani zidi ya syria na N.korea

China wako upande wa wamarekani tayari...na baadhi ya mataifa ya Nato.

Vuguvugu linaendelea huko asia...

Hii weekend inaweza kuwa na matukio ya kutisha.
Asante mkuu kwa updates
 
Nasubiria tu kujua kitakachojiri
 
Aksante mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom