Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,282
- 35,645
Habari za muda Makapuku! Haijalishi siku imeendaje lakini kesho ni siku nyingine tena, unaweza kupata Krismasi ndani ya Kiangazi
Nimekuwa na mfulululizo kwa kuleta wakung'uta magitaa maarufu kwa Uropa, USA na hata hapa kwetu Tanzania, leo ninaye gwiji mwingine japo kwa ufupi.
Eric Clapton, huyu ni gwiji kweli kweli katika kucharaza nyuzi za gitaa, mzaliwa wa Uingereza na keshwatwaa zaidi tya tuzo 18 za Grammy.
Mwaka 2004 alipewa tuzo ya CBE ( Commander of the Most Excellent Order of the British Empire) juu ya mchango wake katika tasnia ya muziki, tuzo hii ni ya juu kabisa kushinda tunzo niliyonayo mimi Kapuku mwenzenu yaani OBE ('Officer of the Most Excellent Order of the British Empire). Sitaki kujielezea mwaka gani niliipata, wakati mwingine nitaielezea wacha leo nimwelezee Eric Clapton.😵
Clapton hapa karika video ya YOUTube anacharaza gitaa pamoja na gwiji wa wakati wote BB King.
Wacha nyuzi ziongee