Makapuku Forum

Makapuku Forum

f5e58fffb3bdaaaec372a12b56d96af7.jpg
 
UEFA CHAMPIONS LEAGUE
JUVENTUS 3-0 BARCELONA
32b889b6fef99146e708489d5c41b892.jpg

Shujaa wa mchezo Paulo Dybala
210a64f3079ba6a0135ed37dcb1f69bc.jpg

Refarii kutoka Poland Szymon Marciniak ana rekodi nzuri na Juve, mpaka sasa ameshachezesha mechi tano za UEFA pamoja na ya leo. Mechi mbili ni Lyon vs Juventus na Juventus Vs Barcelona ambapo zote Juventus ameshinda.

Tuutazame mchezo wenyewe Juventus waliingia uwanjani sio kupata matokeo tu bali pia kumzuia Barcelona asipate goli kitu ambacho walifanikiwa, counter attack zilifanikiwa maana huwezi kuchezea mpira sawa na Barcelona.
Gerrard Pique na Mascherano waliigharimu Barcelona katika ulinzi hasa goli la pili na la tatu. MSN imeendelea kuwa butu wakiwa wamepiga mipira iliyolenga goli mara mbili.
d2147dadc12cd12bbf72bf3d4b8178ab.jpg

3e8d4c5f7727672cf209de3443c0ee3a.jpg
 
*Wanaume kunyonya chuchu za wanawake tunajua kabisa wamejifunza toka walivyokuwa wadogo wakinyonyeshwa*
*lakini kitendo cha wanawake kunyonya za wanaume ndo kina washangaza wanasayansi mmejifunza tokea wapi*

hii nayo ni ya robert mugabe
 
Habari za muda Makapuku! Haijalishi siku imeendaje lakini kesho ni siku nyingine tena, unaweza kupata Krismasi ndani ya Kiangazi

Nimekuwa na mfulululizo kwa kuleta wakung'uta magitaa maarufu kwa Uropa, USA na hata hapa kwetu Tanzania, leo ninaye gwiji mwingine japo kwa ufupi.

Eric Clapton, huyu ni gwiji kweli kweli katika kucharaza nyuzi za gitaa, mzaliwa wa Uingereza na keshwatwaa zaidi tya tuzo 18 za Grammy.

Mwaka 2004 alipewa tuzo ya CBE ( Commander of the Most Excellent Order of the British Empire) juu ya mchango wake katika tasnia ya muziki, tuzo hii ni ya juu kabisa kushinda tunzo niliyonayo mimi Kapuku mwenzenu yaani OBE ('Officer of the Most Excellent Order of the British Empire). Sitaki kujielezea mwaka gani niliipata, wakati mwingine nitaielezea wacha leo nimwelezee Eric Clapton.😵

Clapton hapa karika video ya YOUTube anacharaza gitaa pamoja na gwiji wa wakati wote BB King.
Wacha nyuzi ziongee


Asante mkuu bhinamu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom