Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Ok, asante kwa nyongeza.
Ni mmoja kati ya Majenerali wa JWTZ aliyeacha heshima mkubwa
....
Ok, asante kwa nyongeza.
- Siku ya kimataifa ya kupambana na ugonjwa wa Parkinson.
Ndio ugonjwa anaoumwa Mzee Lowassa.
Huwa situnzi picha ninazopost isipokuwa zenye umuhimu tu ndo sizidelete...hivyo hiyo picha sinaView attachment 494158
Mkuu Bitoz, naomba uniwekee hapa na ile picha ya geneza alivyobebwa Margareth Thather. Ili kuongezea nyama kwenye Swali langu lifuatalo
Ni kwanini mageneza ya hawa Mabrito yanabebwa kwakutanguliza miguu?
Sawa kaka..Samahani Mkuu.
Anaendeleaje?Natumai umeamka salama shem
Picha ya nini bhana?Nyagei
Nasikia we body guard wangu!! Naomba unitumie picha yako nikiridhika ndo uwe body guard...
La muhimu Naomba unifundishe mpira bhana
Mmh..hayo majina gani mkuuUnamanisha inspector wizzy le mubebez
Yes you can, if you believe in yourself!!! Nothing is impossibleNUKUU YA LEO
In order to succeed, we must first believe that we can
Ili tuweze kufanikiwa, ni lazima kwanza tuamini kuwa tunaweza
Haya maneno yalipata kutamkwa na mwaandishi, mwanamashairi na mwanafalsafa wa kigiriki Bw. Nikos Kazantzakis. Nikos alizaliwa tar 18/02/1883 na kufariki 26/10/1957 akiwa na miaka 74.
Alizaliwa Ottoman Empire ambayo leo hii inafahamika kama Ukigiriki.
![]()
![]()
Nikos anakumbukwa kwa kazi zake nyingi kama
Zorba the Greek
Last Temptation n.k
Falsafa ya tuamini kwanza tùnaweza ndio ilikuwa presidential campgain slogan ya Rais mstaafu wa marekani Barack obama mwaka 2008 .
![]()
Ni maneno yenye uzito ukiyachambua kwa kina!
Motivational kwetu;
Unapoona jambo kama ni gumu kumbuka hii slogan ya Yes we can! Inakupa nguvu, ari na moyo wa kuona jambo gumu linawezekana.
Believe! You can
Transcend.
Hahahaa!Ahaaaaaaaaaaaah wewe na mdogo wako wehu kabisa
Ila umeelewa, ila hutaki kuonekana kama umeelewaHakuna cha yaaniii
Eti T hawezi nifundisha mpiraUpiiii
What?Sijui mkuu mr T na busara zake anashindwa kumfundisha ?? Au wote hawajui
Mpira mume wangu!!!What?
Nini sakayo asichokijua?
Le presidaa Bitoz..Bitoz
Hongera nimekuona kwenye je wajua!!! We ni member wa Jf mwenye likes nyingii kuliko hata mwenye forum.....
asante kwa nukuu ya leoNUKUU YA LEO
In order to succeed, we must first believe that we can
Ili tuweze kufanikiwa, ni lazima kwanza tuamini kuwa tunaweza
Haya maneno yalipata kutamkwa na mwaandishi, mwanamashairi na mwanafalsafa wa kigiriki Bw. Nikos Kazantzakis. Nikos alizaliwa tar 18/02/1883 na kufariki 26/10/1957 akiwa na miaka 74.
Alizaliwa Ottoman Empire ambayo leo hii inafahamika kama Ukigiriki.
![]()
![]()
Nikos anakumbukwa kwa kazi zake nyingi kama
Zorba the Greek
Last Temptation n.k
Falsafa ya tuamini kwanza tùnaweza ndio ilikuwa presidential campgain slogan ya Rais mstaafu wa marekani Barack obama mwaka 2008 .
![]()
Ni maneno yenye uzito ukiyachambua kwa kina!
Motivational kwetu;
Unapoona jambo kama ni gumu kumbuka hii slogan ya Yes we can! Inakupa nguvu, ari na moyo wa kuona jambo gumu linawezekana.
Believe! You can
Transcend.
Nakumbuka sana zile za jamii photo enzi zilee na kina Th NameThanks
Kawaida tu ila sizitafuti likes kwa nguvu...kumbuka kabla ya huu uzi ninazo thread zaidi ya 20 mojawapo ni sticky jukwaa la utanashati pia jamii photos ninazo thread km 5 ila "hapa vipi?" ndo imebamba....chit chat pia zipo baadhi nimeedit kwa kuzifuta nilichoandika ili zife
Siku hizi nimeacha kuanzisha thread
...........
Katika ubora wakeLe presidaa Bitoz..
Pamoja wakuu...Yes you can, if you believe in yourself!!! Nothing is impossible
Asante kwa kutupa motisha chanya!!