Karibu mrembo JovithaNyinyi T na Leee nimekuja JF kuchat sijaja kubeba waume za watu kwenye miugomvi yenu huko msinishirikishe kama hamjui utani hana haja ya Ku quote kitu alicho post MTU km unahisi kimekukeraa llooooo wanaume ninao mpk wengine nimewasahauuu poleni mnaobabaika fyuuuuuuu
Noooo!Ngoja ni logg off kabisaa
Utazoa Wallahi..
Unajua ninavyosema sitaki ninamaanishaYaani wewe inabidi tukusajili huku...
Nakuja mmu kukuchukua...
Huu utani tuu mkuu..! Ila utani kwa ki-utu uzima..
Uje huku pazuri sana...!
Basi SawaKiasi tu
Naendelea vizuri mwayaNzuri tu, unaendeleaje
Mkuu ntakuteka na sitokuruhusu ata kupiga selfieMkuu hebu ona text zako za hapo chini, hapa unasema ulikuwa unashangaa ila huko chini unasema mimi nachepuka..
Mbona huna common standings..?
Hueleweiki mkuu...mara ooh nashangaa..mara T anachepuka..! Be a man and speak out the truth..
Nimechepuka wapi? Leta vidhibiti hapa
Umeona nini?
Tell us...!
Ndo maana NakupendaVery well hilo tu wala usikonde shem
Ntatembea na sime nile ban bureeKabisaa
Uachane na kukaa kapuku muda wote tembea nyuma yake
Karibu mkuuMkuu leo nimekuja maana naona hutaki kunukaribisha
Sio Sitaki wewe ulisema utakuja mwenyewe kwa miguu yako naona safari yako ilikuwa ya kuunga unga ndio maana umefika leo.Mkuu leo nimekuja maana naona hutaki kunukaribisha
NshamjibuuAkikujibu niite baby
Hahaaaa ! Poleee..Unajua ninavyosema sitaki ninamaanisha
Lee,Mkuu ntakuteka na sitokuruhusu ata kupiga selfie
Shenie muite lee hapa...
Afu nikuombe msamaha mapema kabisaa...!
Nataka nichafue humu kidogo..
Ukimteka uniambie unapompeleka tuu inatoshaMkuu ntakuteka na sitokuruhusu ata kupiga selfie
Mkuu,Mkuu ntakuteka na sitokuruhusu ata kupiga selfie
Akaaaa naludi zang MMU bora Kule Mara 1000Karibu mrembo Jovitha