Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Kivip mkuu Mimi nimeshangaa ujio wa mgeniiHahaaa!
Lee anapenda tuu nigombane na sakayo bure...
Kivip mkuu Mimi nimeshangaa ujio wa mgeniiHahaaa!
Lee anapenda tuu nigombane na sakayo bure...
NakupendaSasa naona kama mnataka kuniaharibia ustaarabu wangu..
Lee kuwa kama wa kiume basi...
Ndio nini hiki?
Mwambie akuweke wazi..mHivi Umeanza lini kusema kwa mafumbo
Hahahaaa! Hata mimi niko njia panda mkuu..Anatuweka njia panda
Nipo, nasoma tuuMmmmh njoo shemu
Haya bwanaAchana na lee...! Wewe umbea wakw huujui...
Nakupenda mara 7 x 70 x 700 x 7000 x 70000 x 700000 x 7000000 x 7000000 x 700000000 x 7000000 ..... x nth..Nakupenda
Halafu anaviziaga mida ya lunch!!!Hahaaa!
Lee anapenda tuu nigombane na sakayo bure...
Wewe huyoooNimeshangaa kama ulivoonaa
Karibu tule mama...Halafu anaviziaga mida ya lunch!!!
Si unakumbuka kipindi kilee, yaani nilikuwa mezani kama leo
mm sina mafumbo namuuliza jovitha labda kuna yaliyomsibuHivi Umeanza lini kusema kwa mafumbo
Halafu anaviziaga mida ya lunch!!!
Si unakumbuka kipindi kilee, yaani nilikuwa mezani kama leo




chakula hakitapandaIla nimegundua haya mapenzi ya wazi yana changamoto saana babyBhana usisikilize tena watu ! Hasa lee...
Mbona jovitha hajasema chochote...!
Njia panda Unaenda wapiMwambie akuweke wazi..m
Hahahaaa! Hata mimi niko njia panda mkuu..
AsanteNakupenda mara 7 x 70 x 700 x 7000 x 70000 x 700000 x 7000000 x 7000000 x 700000000 x 7000000 ..... x nth..
Nautunza mama..Asante
Ntunzie baba moyo wangu mie
Asante mume wanguKaribu tule mama...
Lunch timeeeee!
Achana nao
Mmmmhmm sina mafumbo namuuliza jovitha labda kuna yaliyomsibu
Yaanichakula hakitapanda
Pole mke wangu...Asante mume wangu
Ujue nilikuja kukuita ule nikakutana na hivi vimaneno nikasahau
Kwanii mm nimesemaa niniBhana usisikilize tena watu ! Hasa lee...
Mbona jovitha hajasema chochote...!