Makapuku Forum

Makapuku Forum

Baby ukuje huku...

Nishakupa na jezi kabisaa...!

Jmosi unapata T-shirt og kabisa ya man untd...

364d8e33c47cd4280ed2893296973460.jpg



Shunie mpokee dada -anakuja OT
Wooow
Baby, hamna rangi ingine jamani
 
NUKUU YA LEO

In order to succeed, we must first believe that we can

Ili tuweze kufanikiwa, ni lazima kwanza tuamini kuwa tunaweza

Haya maneno yalipata kutamkwa na mwaandishi, mwanamashairi na mwanafalsafa wa kigiriki Bw. Nikos Kazantzakis. Nikos alizaliwa tar 18/02/1883 na kufariki 26/10/1957 akiwa na miaka 74.

Alizaliwa Ottoman Empire ambayo leo hii inafahamika kama Ukigiriki.

6ad12b9b4b0db1ff23540610732b16f6.jpg


e5934af01b977e5bcc689c0c97dc9d92.jpg


Nikos anakumbukwa kwa kazi zake nyingi kama

Zorba the Greek
Last Temptation n.k


Falsafa ya tuamini kwanza tùnaweza ndio ilikuwa presidential campgain slogan ya Rais mstaafu wa marekani Barack obama mwaka 2008 .

46d80ba4da22fdb894dce2f5ef847d01.jpg

Ni maneno yenye uzito ukiyachambua kwa kina!

Motivational kwetu;

Unapoona jambo kama ni gumu kumbuka hii slogan ya Yes we can! Inakupa nguvu, ari na moyo wa kuona jambo gumu linawezekana.

Believe! You can

Transcend.
Asante ubarikiwe
 
Mimi nilikuwa naipenda toka enzi za kina Beckham, zidane huko back ways..

Ila ronald ni kama daraja la man u supporters kuipenda madrid..

Ila hata CR7 anaipenda man u..

Juzi alivyodedicate vile viatu vyake kwa Man untd alisema hivi..

"I am dedicating this to Manchester united, that's my home, thats where i learned the art of football"
Ngoja nitoke tuu humu, naona giza tuu
 
Siasa imeharibu kila kitu mkuu.
Sana mkuu..

Nepotism ni simu mbaya sana! Na bado inaendelea kuitafuna serikali yetu..

Ila viongozi wengi hawalioni hili, hao watu wanaopendelewa bila kuwa na sifa za kubeba haya majukumu watakuja kutuhaibisha tunapokutana Tz vs jamii ya kimataifa..

Ni hasara sana, siku Tz sina misuguano na nchi kubwa ambazo zimeshika miiko na tamaduni ya kazi za kiusalama ndio wataona athari ya haya wanayoyafanya...

We will perish in a drop of a feather..!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom