Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
ujue naipenda hii team sbbu ya ronaldoSasa hiii inaitwa madrid...! Most of the biggest football club in the world..
Wapinzani wao wakubwa ni team ya Catalunya..!
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
ujue naipenda hii team sbbu ya ronaldoSasa hiii inaitwa madrid...! Most of the biggest football club in the world..
Wapinzani wao wakubwa ni team ya Catalunya..!
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ujio wakoKilichokushtua
Asante mume wanguOna picha za zile klabu za mpira ambazo nilitamani uwe shabiki wake...
Achana na lee...
Waona kwanza man united, timu ambayo mimi nashabikia, mdogo wako anashabikia na mlinzi wako nyagei anashabikia..
![]()
![]()
![]()
![]()
Hiyo ndio club ya manchester united yenye makazi yake katika jiji la manchester..nchini uingereza..
Ni moja ya club kongwe na zenye mafanikio katika soka ..
Kuna wachezaji maarufu kama Wayne Rooney, Ibrahimovic, marcus Rashford, David De Gea na wengine weeeeengi
Kumbee!We jamaaa we mmbeeeeeee......
teh wakina isack wapo wengiPouwa bhana naona mnajiandaa na pasaka,,,,, mambo mubasharaaa mubasharaaa ila jf bhana
Ujio wangu umefanyajeUjio wako
Asante mume wangu
Lakini hawana jezi nyingine??!
Hata simuelewagiWeeee huonagii shunie anamtaka chicharitoo
Anyway umeriply text si ykoKumbee!
Ayway ngoja mimi niendelee kufundisha mpira...
Naona umeanza utani wa ngumi shunie eti???teh wakina isack wapo wengi

Mimi nilikuwa naipenda toka enzi za kina Beckham, zidane huko back ways..ujue naipenda hii team sbbu ya ronaldo
Huwezi kaa kimyahahahhaha acha nikae kimya
Kweli text aliyo quote si yke ilikuwa yko
kavurugwaaa


Anyway umeriply text si yko
acha tu nimpende popote alipo nipoMimi nilikuwa naipenda toka enzi za kina Beckham, zidane huko back ways..
Ila ronald ni kama daraja la man u supporters kuipenda madrid..
Ila hata CR7 anaipenda man u..
Juzi alivyodedicate vile viatu vyake kwa Man untd alisema hivi..
"I am dedicating this to Manchester united, that's my home, thats where i learned the art of football"
Wenge zakeeKweli text aliyo quote si yke ilikuwa yko