Mpira nitakufundisha mimi, afu mdogo wako shunie na nyagei watakuwa wanaongezea ongezea kidogo...
Hapa Tz, sina wasiwasi sanaa maana najua unapenda Yanga ...mimi mmeo ni simba..
Kila nchi kuna ina mashindano ya vilabu vya mpira ( yaani ligi) na pia kuna mashindano ya kimataifa..
Kama sasa hivi hapa Tz kuna team ya serengeti boys -ambao ni U17 hawa wako kambini nchini morocco kwa ajili ya mashindano ya bara la Africa..
So hapa umeshaelewa sasa kuwa kuna vilabu kama simba, yanga, azam,mbao Fc, majimaji mbeya fc. n.k
Lakini pia kuna team ya taifa..