Km Simba baada ya kutandikwa 2:0 na Kagera Sugar tena mabao ya kideoni halafu anataka kupewa point 3 na magoli 3 ya mezani. Basi na Barcelona pia wapewe maana nao juzi tu wamekung'utwa 2:0 na Malaga maana vipige vyao vinafanane mfano wote wamefungwa goli moja kila kipindi tena ya counter attack yenye ufundi na wote wanashika nafasi ya pili wanahitaji point kwa udi na uvumba wachukue ubingwa
Kweli mpira wa Bongo magumashi bora tushabikie rede maana japo chupi tutaona
...........