BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Asante mkuu ubarikiwe najifunza mengi..ubarikiweMkuu
Hizi nukuu mimi siweki tuu kwa kuwa nilisema nitaweka nukuu..
Nataka hizi nukuu zibadilishe maisha ya members humu..
Yaani, kila siku ujifunze kupitia hizi nukuu..
Ni muhimu sana kama unaweza kuzifanyia kazi at leat kwa 51% if not 100%
Nawapenda makapuku..
H.B.D Dangote1957 - Aliko Dangote anazaliwa huko Nigeria.
Ni mfanyabiashara na muasisi wa makampuni ya Dangote Group.
Anatajwa kama tajiri namba moja barani Afrika.
H.B.D Steven Seagal1952 - Steven Seagal anazaliwa.
Staa wa filamu kutoka Hollywood.
Hakika ni kweli.Too much is harmful
....
Best movie ever..
Ngoja niitafute
.....
hii movie sichoki kuiangalia
Ngoja niitafute
.....
Amina
Dadii shikamoo
Shunie enzi za chircharito
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Blue is the colour,
football is the game,
We're all together,
and winning is our aim,
So cheer us on through the sun and rain
'Cause Chelsea, Chelsea is our name
Mkuu tuko pamoja sana kuipepelusha bendera ya blue na anthem yetu
Asantee mkuuLeo katka Historia:
Jumatatu njema kwenu.
Marhaba mamiiiiiDadii shikamoo
.....watu na makapuku forum
[emoji125] [emoji100]Mkuu ni mboga mboga za majani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji4] [emoji3]Ni mboga za majani ya maharage wakuu[emoji12] [emoji12] [emoji12]
ya 9 ingependedhaKwa hali jinsi ilivyo mwaka anamalizia ligi akiwa nafasi ya 6
[emoji109] [emoji109]Maana yake si ndo hiyo....au wewe ulitaka maana ipi[emoji23]
1957 - Aliko Dangote anazaliwa huko Nigeria.
Ni mfanyabiashara na muasisi wa makampuni ya Dangote Group.
Anatajwa kama tajiri namba moja barani Afrika.
HBD to dem1952 - Steven Seagal anazaliwa.
Staa wa filamu kutoka Hollywood.