Makapuku Forum

NUKUU YA LEO

The biggest disease today is not leprosy or tuberclosis, but rather the feeling of being unwanted

Ugonjwa mkubwa leo hii sio ukoma wala kifuu kikuu, bali ni hali ya kutokukubalika

Haya maneno yalipatwa kusemwa na mtakatifu mama Teresa wa calcutta.

Mama Teresa alizaliwa katika mji wa Anjezë Gonxhe Bojaxhiu nchini macedonia tar. 26/8/1910 na kufariki akiwa na miaka 87, tar. 26/9/ 1997.

Mama Teresa atakumbukwa kwa kujali wanyonge, wagonjwa, na wa watu wanaotengwa na jamii kutokana na matatizo ya kiafya.




Morning motivational.

Hakuna kitu kibaya kama kutokukubalika, kutokusikilizwa, kutopewa kipaumbele, kutokuthaminiwa, kudharauliwa na hali kama hizo..

Mjali mtu kwa nafasi, mehushimu kila mtu !

Transcend
 
Amen Mama.....be blessed too dear
 
Amen
 
Kweli ni kitu kibaya lakini kuna pipo zinastahili kudharauriwa + kutoheshimiwa na pia hazikubaliki refer to Bashite na Lipumba maana wenyewe hazijiheshimu
Ila ni ving'ang'anizi balaa
.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…