HahahaAfu si unajua nilimwagiza mondray misuli alipoenda zenji...
Kesho anaileta, ni mwendo wa khanga na msuli tuu..
Hapo inakuwa slide to open tuu..
Nakuombeamama mchungaji harakati zangu uwage unaniombea maana nyingi zinaishia ukingoni
Naona ibaki wazi tuu honey, kwani si tuko wenyeweBaby naja..
Nilikuwa nafunga milango..
Mimi sio mpenzi wa chura kakaMzee mwenzako wa vyura kaja kukusabahi
Mama mchungaji
Kama unafungua kurasa vileAfu si unajua nilimwagiza mondray misuli alipoenda zenji...
Kesho anaileta, ni mwendo wa khanga na msuli tuu..
Hapo inakuwa slide to open tuu..
ShkamoMimi sio mpenzi wa chura kaka
Hhahaaaa!Naona ibaki wazi tuu honey, kwani si tuko wenyewe
Marhaba shem habari ya kushinda?Shkamo
SweetieHhahaaaa!
Kina nyagei watakuja kula chapo...!
Ngoja nije mama...!
Leo ni mtekenyo wa haja ..!
NyageiKabla hatujalala tujue kilichojiri viwanjani leo
Belgium playoffs
England EPL
Moyes ameshakubali matokeo ya kushuka daraja
Germany Bundesliga
Kenya premier League
Kitu flat screen kama wa-irishMimi sio mpenzi wa chura kaka
Slide to open ile mtu havui pichu mkuu..kwahiyo ndo pichu inakuwa slided..Kama unafungua kurasa vile
NzuriMarhaba shem habari ya kushinda?
Mke wa zamani nilimuacha kwa sababu ya arsenal..Nyagei
Hivi kwa nini mie sinaga hobby na mpira???!
Zaidi ya Yanga, sijui timu ingine
Utakavyoamua sweetieKitu flat screen kama wa-irish
Slide to open ile mtu havui pichu mkuu..kwahiyo ndo pichu inakuwa slided..
Jamani tulale sasaThis is too much..and too much is harmful
Sakayo tunaharibu watu sasa! Hahaa
HahahaMke wa zamani nilimuacha kwa sababu ya arsenal..
Arsenal wakifungwa tuu sipiwe siku hiyo..hata kama ni siku ya ratiba..
Wewe inabidi ujue yanga tuu!Hahaha
Sijui mie ntajua lini mpira jamani!!!
DaaaahWewe inabidi ujue yanga tuu!
Afu hapo pa yanga tayari tushatofautiana..
Mimi wa msimbazi
OVA!Nafikir nimemaliza kila kitu
Pasipo kufumba macho wala kumuogopa mtu nasema shunie na transcend jana wala hawakuwa mametoka mahali ila ni wivu wa mke wa transcend(shemela)
Pale alipouliza kuwa "mmetoka wapi mbona mmekuja pamoja"
Transcend nae kujikoki kwa mtoto mkali akasema "tumetoka kuleee..kuleee
Hapo mi nikaona kuna tatizo nikaanza kufatilia kila post nikagundua shunie na transcend hakuna mahali wametoka
Uchunguzi wangu ukazama zaiid kwa dr.lee wala hakuonekana na wac wac kwa hilo wala kutikisika iyo inaonyesha alivyo mkakamavu sana katika mapenzi ndio maana iyo kazi akaniachia mimi
Huu ni uchunguzi namba 1...bado 2....na3