Koma kumtajataja shunieDah! nimekaa na pilipili yangu mpaka kwa bahati mbaya nikajitovuga machoni lakini sikuona kama kuna shughuli inaendelea. Si vizuri nyie watu!! Afadhali ndizi nilikula mchana na Rambo nikawekea maganda ya ndizi. Shunie au mlikosa masufuria ya kupikia chakula cha "anniversary"?
Nafikir nimemaliza kila kituToa ripoti yako, tuendelee na mambo mengine
Mkuu unataka niniUlisema mimi ni mroho basi na wewe ni mchoyo, hata karibu jamani?
Ulale na popobawaHabari zenu wakuu makapuku?
Natumai mko poa wote humu ndani.
Naomba niwatakie usiku mwema bila kumsahau mtoto mzuri Shunie
Ulinzi uwe na mipaka chief kamandaKwani mimi unanitaka?
KeshoooooOhooo ohooooo bando lishachacha au unasemaje
Anakulipa $h ngapi lee.Nafikir nimemaliza kila kitu
Pasipo kufumba macho wala kumuogopa mtu nasema shunie na transcend jana wala hawakuwa mametoka mahali ila ni wivu wa mke wa transcend(shemela)
Pale alipouliza kuwa "mmetoka wapi mbona mmekuja pamoja"
Transcend nae kujikoki kwa mtoto mkali akasema "tumetoka kuleee..kuleee
Hapo mi nikaona kuna tatizo nikaanza kufatilia kila post nikagundua shunie na transcend hakuna mahali wametoka
Uchunguzi wangu ukazama zaiid kwa dr.lee wala hakuonekana na wac wac kwa hilo wala kutikisika iyo inaonyesha alivyo mkakamavu sana katika mapenzi ndio maana iyo kazi akaniachia mimi
Huu ni uchunguzi namba 1...bado 2....na3
Tuko nae kule mmu bhanaHuyu mgeni amekuja comment ya kwanza kamtaja bibie Shunie..
Sema kazi unaichanganya na urafikiiiAsante nawewe piah mkuu
Umeanza vizur naona umemaliza vibaya mkuu
We unafikir angesema ananitaka mi ningefanyaje yangefika kwakoUlinzi uwe na mipaka chief kamanda
Kwenda hukooo!!!Nafikir nimemaliza kila kitu
Pasipo kufumba macho wala kumuogopa mtu nasema shunie na transcend jana wala hawakuwa mametoka mahali ila ni wivu wa mke wa transcend(shemela)
Pale alipouliza kuwa "mmetoka wapi mbona mmekuja pamoja"
Transcend nae kujikoki kwa mtoto mkali akasema "tumetoka kuleee..kuleee
Hapo mi nikaona kuna tatizo nikaanza kufatilia kila post nikagundua shunie na transcend hakuna mahali wametoka
Uchunguzi wangu ukazama zaiid kwa dr.lee wala hakuonekana na wac wac kwa hilo wala kutikisika iyo inaonyesha alivyo mkakamavu sana katika mapenzi ndio maana iyo kazi akaniachia mimi
Huu ni uchunguzi namba 1...bado 2....na3
Umepanda cheooNafikir nimemaliza kila kitu

Kadir navyoifanya nitazid kupata more experience hiyo isikupe shidah boss mwenyew utafurahiSema kazi unaichanganya na urafikiii
Usiangalie sura
Na ukijuaaa ??Anakulipa $h ngapi lee.
Unamteteaa ??Tuko nae kule mmu bhana
Ngoja nishtue kitoba then nianze unyapiajiWe unafikir angesema ananitaka mi ningefanyaje yangefika kwako
Naeshimu kazi
We ulitaka nilipwe?Anakulipa $h ngapi lee.