Jamani asanteni kwa kunibadilisha mpaka akili aise sio kwa staha na hekima nilionayo saivi
Nikiingia jf chakwanza naangalia makapuku kuna nini? Daah majukwaa kama jamii interijence,siasa za kina bashite , mmu nimesahau mpaka njia ya kuingilia