Makapuku Forum

Daaaah
Mie hata sijui nianzie wapi ila niseme tuu happy birthday kapuku!!!
 
Asante sana japo mi niliingia humu kwakuchelewa lakini tupo pamoja sana

happy bithday makapuku

Ni mwaka mmoja sasa tangu uzaliwe kapuku nimengi unapitia sana lakini bado umesimama imara japo kunachangamoto mbali mbali bado umesimama kidete uishi miaka mingi zaiidi.

Nitakuwa mchoyo wa fadhila nisipo washukuru watu niliowakuta humu makapuku shunie,lee empire,nyagei,billy5,transcend,bitoz,mussolin5,sakayo,mondray,papupi,aisha2016,.......n.k aisee list ni kubwa sana

Japo tulipokeana kwa bashasha la hapa na pale mpaka nikajisainisha humu kapuku na kitanzi nikajivika kama nkurunzinza lakini saivi tupo sawa tunaishi kwa amani sana ......

THE BORD GUARD
 
Pamoja mkuu
 
Ubarikiwe mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…