Makapuku Forum

Makapuku Forum

1991 - Georgia yajitangazia Uhuru wake toka kwa Soviet.
8b20601fc1cc6acfdac280289ac87731.jpg
4b886556704944740b6fa44078f4dc92.jpg
a129e11f6c3e098ef4bd451b56b2c363.jpg
 
1992 - Mahakama nchini Marekani inamtia hatiani na kumuhukumu miaka 30 jela Kiongozi wa zamani wa Panama, Manuel Noriega kwa kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya enzi za utawala wake.

Noriega alikuwa ni kibaraka wa CIA lakini walivyotofautiana tu wakamtoa madarakani.
05e143a272933be1a45f6a622c099f0b.jpg
a5d409e2385fd9c4f3dde1fcb5b16c79.jpg
faf98b1d6ab211118ff6fce0976901ed.jpg
Ni km yaliyomkuta Saddam Hussein
Hawa ndio Wamarekani
......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom