Aksante Mkuu tutajitahidiMichezo..
Yanga SC 1-0 MC Alger
Mtaji wa goli moja ni mzuri kwa maana ya kutangulia ila ni mtaji mdogo kwa maana ya mchezo ujao anakuwa mgeni kule uarabuni Algeria...
Performance yenye ubora kutoka kwa Yanga imewafanya wapate matokeo ila imetoa pia burudani.. . GL ukifanikiwa kukifanya kile ulichokifanya kule Zambia unaweza kufika mbele zaidi..
Njema umeamshwaje?pole vipi hali yako?ubarikiwe sana sana upone mwili na rohoMama wa mchungaji habari yako!?
Mamamchungaji!!!!! Amina sana... Ahsante piaHAPPY ONE YEAR ANNIVERSARY THANK YOU LORD FOR BRINGING US THIS FAR ..ASANTE MUNGU KWA UMOJA ,UPENDO,MSHIKAMANO,MAELEWANO ,KUJALIANA NA TUNAOMBA UTUJALIE UZIMA ILI TUWEZE KUDUMISHA MSHIKAMANO HUU..ASANTE SANA WOTE WALIOANZISHA JUKWAA HILI NA WANAOSIMAMIA KWA UPENDO NAJISIKIA AMANI KUWA MAHALI HAPA NASHUKURU SANA KWA NAMNA TUNAVYOCHUKULIANA KWA UPENDO..WE BELONG TO EACH OTHER..THANK YOU LORD
1.Mahali ni pazuri ndugu wanapokaa,
/wakipatana vema na wakipendana/
2.Kama umande mzuri unyweshavyo shamba,
/hivyo na Mungu wetu abariki ndugu/
3.Upendano hujenga boma zuri kwao,
/wakae kwa amani waliookoka/
4.Na ulimwengu wote wavutwa nuruni,
/halafu kundi moja na mchunga mmoja tu/
TUDUMISHE UMOJA WETU:
Waebrania 10:24 tukaangaliane sisi kwa sisi na kuhimizana katika upendo na kazi nzuri
Mhubiri 4:9,10,12 9 afadhali kuwa wawili kuliko mmoja maana wapata ijara kwa kazi yao
10 kwa maana akianguka mmoja wao atamwinua mwenzake ,lakini ole wake aliye peke yake aangukapo wala hana mngine wa kumuinua........
12hata ikiwa mtu aweza kumshinda yule aliye peke yake ,wawili watampinga wala kamba ya nyuzi tatu haikatiki upesi...
mbarikiwe sanasana ,daima tuombeane
Asante Mkuu Bitoz kwa kuwa mwanzilishi na kutupokea mahali hapa asante wakuu wote mnaoendelea kupafanya mahali hapa kuwa pazuri kwetu wote.
Amen
Tunakupenda mkuu karibuHongera sana makapuku kwa safari nzr mlioifanya kwa mwaka mzima!!!
Nahisi kuchelewa kujiunga na kapuku kwa sababu ni sehemu Salama to stay but naamini now nitakuwa nanyi Sana na Mimi mwaka kesho mda kama huu niwe nimetimiza mwaka....
Sitawaangusha na nimetokea kuipenda kapuku kwa kiwango cha juu....
Aliye nileta hapa ananipenda kweli kweli!
Asante mkuuTunafurahi kuwa na wewe kwenye jukwaa letu ..
Morning...Morning makapuku
Salamaa Mkuu?Imekuwa
Salama kaka, habari yakoSalamaa Mkuu?
Asante mkuu ubarikiweMamamchungaji!!!!! Amina sana... Ahsante pia
Amen mkuu umeashwaje?ubarikiwe sanaImekuwa
Nzuri tu broSalama kaka, habari yako
Pamoja mkuu sote ni nduguHongera sana makapuku kwa safari nzr mlioifanya kwa mwaka mzima!!!
Nahisi kuchelewa kujiunga na kapuku kwa sababu ni sehemu Salama to stay but naamini now nitakuwa nanyi Sana na Mimi mwaka kesho mda kama huu niwe nimetimiza mwaka....
Sitawaangusha na nimetokea kuipenda kapuku kwa kiwango cha juu....
Aliye nileta hapa ananipenda kweli kweli!
Nashukuru nimepewa siku njema najiandaa kwenda kuomba tobaAmen mkuu umeashwaje?ubarikiwe sana
Ameen kubwa mama... Na Shukulu na kuona wimbo wangu wa nguvu wa siku zote!!!HAPPY ONE YEAR ANNIVERSARY THANK YOU LORD FOR BRINGING US THIS FAR ..ASANTE MUNGU KWA UMOJA ,UPENDO,MSHIKAMANO,MAELEWANO ,KUJALIANA NA TUNAOMBA UTUJALIE UZIMA ILI TUWEZE KUDUMISHA MSHIKAMANO HUU..ASANTE SANA WOTE WALIOANZISHA JUKWAA HILI NA WANAOSIMAMIA KWA UPENDO NAJISIKIA AMANI KUWA MAHALI HAPA NASHUKURU SANA KWA NAMNA TUNAVYOCHUKULIANA KWA UPENDO..WE BELONG TO EACH OTHER..THANK YOU LORD
1.Mahali ni pazuri ndugu wanapokaa,
/wakipatana vema na wakipendana/
2.Kama umande mzuri unyweshavyo shamba,
/hivyo na Mungu wetu abariki ndugu/
3.Upendano hujenga boma zuri kwao,
/wakae kwa amani waliookoka/
4.Na ulimwengu wote wavutwa nuruni,
/halafu kundi moja na mchunga mmoja tu/
TUDUMISHE UMOJA WETU:
Waebrania 10:24 tukaangaliane sisi kwa sisi na kuhimizana katika upendo na kazi nzuri
Mhubiri 4:9,10,12 9 afadhali kuwa wawili kuliko mmoja maana wapata ijara kwa kazi yao
10 kwa maana akianguka mmoja wao atamwinua mwenzake ,lakini ole wake aliye peke yake aangukapo wala hana mngine wa kumuinua........
12hata ikiwa mtu aweza kumshinda yule aliye peke yake ,wawili watampinga wala kamba ya nyuzi tatu haikatiki upesi...
mbarikiwe sanasana ,daima tuombeane
Asante Mkuu Bitoz kwa kuwa mwanzilishi na kutupokea mahali hapa asante wakuu wote mnaoendelea kupafanya mahali hapa kuwa pazuri kwetu wote.
Amen
AmenNzuri tu bro
Wakuu kumekuchaa salama ..tumshukuru aliye juu kwa kutuwezesha kuiona Siku hii muhimu kwetu kwa kafikisha mwaka mmoja ,tunawashukuru founder wote mkuu rais Bitoz asante sana kwa kutuwezesha na sisi tukawa na Sehemu yetu ya kujitawala ...shukrani balozi Bitoz na kapuku wote
Nikiri wazi kuwa Mimi hili jukwaa limekuwa faraja kwangu nikiwepo humu najihisi amani
Unbelievable facts ; makapuku anniversary imeshare na birthday ya MWANANGU Siku ya Leo ..kwa nini nisiipende kapuku ???
Shukrani wakùu
Luis Enrique alisema ubingwa wa Barcelona upo BernabeuKweli mkuu jamaa kafurahi kinomaa
Kwema mkuu, umeamkajeWatu wangu wa nguvu ni kwema!?
Hao ndo wanaupa promo huu uzi humu jamvibni bila kujua baada ya mwaka makapuku itakuwa maalufu sana!!