Makapuku Forum

Tunaanza na akina Samatta wakiendeleza kutokufungwa mechi ya pili bila kuruhusu nyavu kutikiswa

Yanga yeye akipata ushindi mwembamba dhidi ya wa-Algeria

Chelsea wakiwa moto kufukuzia ubingwa huku Tottenham akiwa anamfukuzia kimya kimya

Juventus nae hayupo nyuma katika mbio za ubingwa
 
Ligi kuu Tanzania bara nayo haiko nyuma, mechi ya Mbao vs Simba imesogezwa mpaka Jumatatu

France league 1
Monaco anaendelea kung'ang'ania kileleni

Bundesliga
Bayern on fire dhidi ya Dortmund huku RB Leipzig nae akiwa anafuata nyayo za Bayern

Netherlands EREDIVISIE

Spain LaLiga
Wakati Madrid derby ikimalizika kwa sare ya 1-1, Malaga anamuadhibu Barcelona 2-0 huku Neymar akipata kadi nyekundu na kuigharimu zaidi timu

Kenya premier League
 
Mkuu hii mbona kawaida tu humu vichwa vimejaa usivichukulie poa...mi mwenyewe kuna mmoja nilimchukulia poa sasa siku tumekutana LIVE duh nikakuta ni mtu msomi(masters) ana maisha yake matawi ya juu yaani lakini sio mtu wa Maringo wala kujionyesha akiwa hapa KF
Tukazoeana na kunitonya " yule kapuku fulani ana mkwanja mrefu km treni ila hajioneshi km nanihii"
Nikacheka, tukapiga kilaji

Tangu siku ile ht nimuone mtu humu anapost kijingajinga simchukulii poa najua ni swaga tu za kikapuku

Usimdharau usiyemjua
...............
 
Salute
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…