Makapuku Forum

Yaaani umenena mkuuu
 
Mkuu,


Hivi shemeji yetu ni nani?
Shedede naye kakupatia shemeji hapa hapa Makapuku? Kama ni hivyo hongera zake. Juzi juzi tu hapa nilikuwa nahenya naye wakati tuko gizani hatujazijua couple za hapa Makapuku. Tukigusa huku vitisho balaa mpaka jamaa mmoja akatutishia kututoa uhai kisa Shunie. Kha!
 
Kila siku huwa naongea ukweli. Sema tu huko nyuma Shunie alikuwa ananichanganya na kuwinguisha fikra zangu (cloud my mind). Tangu niponyoke huko naona nimekaa sawa mpaka mwenyewe najishangaa [emoji23][emoji23][emoji23]. Uhuru ni hekima!
Koma na ukomae mbona shunie unamgeuza kama bashite kutajwatajwa kila sehemu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…