"(Kama kuna wa kumbana)"Huyo jamaa kwangu hana credibility yo yote na naamini kuwa pengine ana matatizo ama ya kisaikolojia au zaidi ya hapo. Na katika hii serikali kuropoka ni kawaida. Kila mmoja anataka atoe mropoko wenye kuvuma zaidi ya mwingine. Na huyu kwa vile anajua kuwa hawezi kuguswa hata aropoke vipi basi kuropoka anaropoka kweli.
Kwa kutoa kauli hiyo ni wazi pengine alikuwa anajua Roma alipo. Wambane (kama kuna wa kumbana) aseme na Ben Saanane atapatikana lini. Hovyooooo!!!
Yote yana mwisho. Ana swaga kuwazidi akina Idd Amin, Seseseko Mobutu Kuku Ngbendu Wa ZaBanga na mabashte wengine waliomtangulia? Haoni wanavyoozeana katika shimo la takataka la Historia? Swaga zenyewe za kubebwa? Puliiiiz!!!Swaga za Bashite sio za nchi hii
....
.
Yote yana mwisho. Ana swaga kuwazidi akina Idd Amin, Seseseko Mobutu Kuku Ngbendu Wa ZaBanga na mabashte wengine waliomtangulia? Haoni wanavyoozeana katika shimo la takataka la Historia? Swaga zenyewe za kubebwa? Puliiiiz!!!
Babu alibakwa asizugeBabu Anawahadithia Wajukuu Zake Hadithi
Babu: Tulipokuwa Vitani Tulitekwa Na Maadui, Nusu Yetu Waliuwawa Na Nusu Nyingine Walibakwa.
Wajukuu: Babu Kwa Hiyo Wewe Ulikuwa Kundi Gani?
Babu: Nani?
Wajukuu: Wewe!
Babu: Nani? Mimi.... Mimi... Niliuwawa!
Madenge, inaonekana "umewekeza" kweli kweli kwenye haya mambo. Anyway, ni bonge la muvi. Hata sijui tumefikaje hapa!
Mkuu hupatikan kwa phone.We enjoy leo ila kesho utuletee kitu mbashara
Mkuu hupatikan kwa phone.We enjoy leo ila kesho utuletee kitu mbashara
AhahahahaHuyu jamaa anafikiri humu wote ni pipo with low IQ kwavile tunapigaga stori hivyo hatujaelimika wala hatujui siasa chafu au nini na nini
Akisikia tunaikosoa serikali ya msukuma mwenzie basi atakuja rundo la maneno kudefend
Nimeishamzoea
........
Teh....tehWasikutishe bae
Teh...tehUkitaka kumuona jamaa anaandika "kisomi" wakosoe tu wale Wasukuma wawili
Mtabishana siku nzima....
Ni km team kudefend Le Mutuz fact zitaletwa za kutosha
.......
Kwelii kabisaa mkuu
Game limeisha
Kwa matokeo haya Yanga kusonga mbele ni ngumu km mnavyojua Waarabu wakiwa kwao ni full figisu
*Kujidondosha ili wapate penalty/faulo
*kuongrzewa dk nyingi za majeruhi
*Game kupigwa usiku
*Yanga kuchezea kadi za kutosha
*figisu nje ya uwanja
Wabongo bado hatujui kutumia uwanja wa nyumbani
.......
Hospital..Roma na wenzake walikuwa wapii??
Mm simo.Wakuu hamjambo nawasalimu kwajina la bwana
Shunie hu mzma wewe naona transcend , shimba wa buyense, mondray wanakunyapia nyapia......
Mm simo.Wakuu hamjambo nawasalimu kwajina la bwana
Shunie hu mzma wewe naona transcend , shimba wa buyense, mondray wanakunyapia nyapia......
Niko hapa mpenz miss you sanaMondray sweeetieeee!!!!
I miss you!!!
Nimewamisi pia makapuku!!!
Miss you tooNiko hapa mpenz miss you sana