Makapuku Forum

Bila shaka umeanza kunielewa kuwa serikali iko nyuma ya utekaji wa Roma, ninaposema serikali simaanishi ni rais bali waliopewa dhamana na kuaminiwa naye na wanayatumia madaraka na imani waliyopewa vibaya.
Bashite ni sehemu ya hiyo serikali, kauli yake ni kauli ya serikali ktkt eneo lake la utendaji ni rais wa darisalama
 

Kilichomzimisha ni kuelekea nyuma ya uwanja
 
Well impressive
 
Reactions: Lee
NAPE AONGEA NA WANAOTUMIA MTAMA


Dar es Salaam. Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye amezungumza na wapiga kura wake leo katika kijiji cha Chihuta huku akieleza kuwa yeye ndiye aliyemtafutia kura Rais John Magufuli katika kampeni za uchaguzi wa mwaka 2015.

Kadhalika Nape alizungumzia tukio la kutolewa bastola alipotaka kuzungumza na waandishi wa habari hivi karibuni na kuvitaka vyombo vya ulinzi na usalama vichukue hatua.

“Shida niliyonayo wapiga kura wangu huyu jambazi aliyetoa silaha vyombo vya ulinzi nausalama vinafanya nini,” alisema

Alisema kutokana na tukio lile, alihitaji busara zaidi na kutulia kwani kifua chake kina mambo mengi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…