Yap ilikuwa usiku hivi ila ilikuwa ni winetalk kiasi kwamba kwa sasa wine ishaisha kichwani hivyo sikumbuki hata nilichokuwa nataka kukuambia japo nakumbuka niliomba kibali kwa ndugu yangu Th Name cha kuongea na wewe wacha nikikumbuka jion hii baada ya kupiga 1,2 ntakuambia tu..