HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,926
- 6,669
Mtumishi usimpe pressure mwenzakoUkamcheki hospitali mkuu isje ikawa toyo walimsukuma
Mtumishi usimpe pressure mwenzakoUkamcheki hospitali mkuu isje ikawa toyo walimsukuma
Ametekwa na majambaziIlikuwa juzi aliniaga asubuhi kuwa anaenda job then angerudi baadae, lakini ndo hivyo tena mpaka sasa.
Ukweli ndo huo mkuuMtumishi usimpe pressure mwenzako
Mmmmh pole sana. Sasa umechukua hatua zipi?Ilikuwa juzi aliniaga asubuhi kuwa anaenda job then angerudi baadae, lakini ndo hivyo tena mpaka sasa.
Sio fani yangu mkuuUtakuwa mshangiliaji hadi lin mkuu, omba namba ucheze
Ooh samahani. Je ni sababu unavidonda kwenye makanyagio nin!!Sio fani yangu mkuu
Kama wote watakua na maamuzi kama yako spead itatoka wapi?Forum imepungua speed..mkifikisha 20k replies nitarudi kuwasalimu.
YeahKi mahabati zahidi![]()
Kumbe ni ww nilikuona!Ha haaa.....
![]()
Hatuwezi kufanana maamuzi mkuu. Wapo makapuku halisi...watasogeza gurudumu.Kama wote watakua na maamuzi kama yako spead itatoka wapi?
Jimena!Sijamuona, kwani alilala nje?
Nyamaza mumewe kajaJimena!
Tangaza sasa, ili tusubiri order.Hiyo kazi ndogo sana.
Katiba inasema all people are equal.....Hapo Makondakta anataka kuondoa ombaomba mjini sasa wao wanapinga kwa madai kwamba wana HAKI kikatiba ya kuendelea kuwepoAlie elewa ani tafsirie
Mke haonekani siku ya tatu, alafu unaniambia atarudi tu kweli!Pole sana mkuu atarudi tu usilielie sana
Shem umejaa mapendo hadi wivu!
Honey, I love you