Nashukuru umeligundua hilowatu humu ndani wanapenda sana kuulizia wake za watu
Ndio baba mtumishi!Shem jimena!
Mambo shemAmeizing!
Wewe una mke?watu humu ndani wanapenda sana kuulizia wake za watu
Eeeeee sasa wewe unatuletea mambo gani tena!?!? Ma babe wako umeshindwa kumjulia hali.. Au amkupeana noNi mchumba tu ndugu hatujaunganishwa so sjajua kaamka je mkuu
Alafu nilitaka kukuuliza mkuu... Mpo swalamaaHivi huyu Nahrene wangu amepita hapa!
Mkuu niko poa kabisa.Alafu nilitaka kukuuliza mkuu... Mpo swalamaa
Ahaa itaratibu wake huanza maombi alfajiri had saa 4 ndipo twawasilianaEeeeee sasa wewe unatuletea mambo gani tena!?!? Ma babe wako umeshindwa kumjulia hali.. Au amkupeana no
Alie elewa ani tafsirie![]()
Fake Human rights
![]()
![]()
![]()
.................
Sijambo mkuu. Mkuu chukua ushauri kwa jambilo wa kummudu mkeoMkuu niko poa kabisa.
Vipi wewe?
Ushauri gani tena.Sijambo mkuu. Mkuu chukua ushauri kwa jambilo wa kummudu mkeo
Ilikuwa juzi aliniaga asubuhi kuwa anaenda job then angerudi baadae, lakini ndo hivyo tena mpaka sasa.Kwani mara ya mwisho lini kumuona?
Ukamcheki hospitali mkuu isje ikawa toyo walimsukumaIlikuwa juzi aliniaga asubuhi kuwa anaenda job then angerudi baadae, lakini ndo hivyo tena mpaka sasa.
Utakuwa mshangiliaji hadi lin mkuu, omba namba uchezeKi mahabati zahidi😛