lizziebettie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 2,873
- 11,966
I love u more babe!Honey, I love you
I love u more babe!Honey, I love you
Domo zege huyoNyamaza mumewe kaja
AiseeHoney, I love you
Hahaaa lambeni ndimuShem umejaa mapendo hadi wivu!
Nyie watu mmbarikiweHoney, I love you
Ngoja kwanza ni draft tangazo vizuri.Tangaza sasa, ili tusubiri order.
Thanks love.I love u more babe!
Ooooo!!!!!! Asante mkuu.Kama wana uwezo wa kupinga basi pia uwezo wa kufikiri na kutafuta hela kwa njia nyingine wanayo. Ila walemavu wa macho wangefikiriwa namna ya kuwezeshwaKatiba inasema all people are equal.....Hapo Makondakta anataka kuondoa ombaomba mjini sasa wao wanapinga kwa madai kwamba wana HAKI ya kuendelea kuwepo
...............
HahahaHahaaa lambeni ndimu
Nini tena?Aisee
Umeanza vijembe, ukitemwa unaanza, ooh pastor niombee!!Hahaaa lambeni ndimu
AsanteNyie watu mmbarikiwe
Hahahahaaaa... Natamani ungeujua ukweli... We mwenyewe mkeo tulifanya kukusaidia hapa....Domo zege huyo
Unafaidi hadi napata wivu.Nini tena?
Hatuachani. Hivyo vijembe ni kwa wale wanaotaka kuhujumu penzi letu.Umeanza vijembe, ukitemwa unaanza, ooh pastor niombee!!
Kunitema hawezi labda tufeUmeanza vijembe, ukitemwa unaanza, ooh pastor niombee!!
Vipofu co mabwege wapo kibao vyuoni wanapiga buku...ombaomba ni hulka ya mtu tu kuna watu hawana miguu lakini wanalisongesha laifuOoooo!!!!!! Asante mkuu.Kama wana uwezo wa kupinga basi pia uwezo wa kufikiri na kutafuta hela kwa njia nyingine wanayo. Ila walemavu wa macho wangefikiriwa namna ya kuwezeshwa
Mtumishi Gud morning haipaswi kuwa na wivu na shemeji yako bana..Shem umejaa mapendo hadi wivu!