Makapuku Forum

Ratiba ya mechi za kufuzu UEFA nchini Ubelgiji

Kila la kheri KRC GENK

EPL

Stoke City vs Liverpool ni tough game kwa siku ya leo
France league 1

Je Monaco ataendeleza ubabe?
Kweli mkuu Leo EPL stoke na Liverpool mechi ngumu bila kumungunya maneno na ebu tujikumbushe kilichompata liver majuzi,,,,, mchezo wa awali pale Goldsand ulikuwa mgumu sana kwa Liverpool na Bournemouth.... Bournemouth wanavuna jumla ya alama 4 kwa Liverpool na hii inadhihirisha ubora wao katika kukaba sambamba na kushambulia....... Ila pia inadhihirisha udhaifu wa Liverpool katika kufeli kwa gengepressing ndani ya mbinu za Eddie Howe.

Navoamini stoke ni miongoni mwa timu ngumu kabisa ambazo hutakiwi kukutana nazo wakati unahitaji alama muhimu iwe nyumbani au ugenini pia wakati unawakosa wachezaji wako muhimu katika timu....my note kwa wale wapendwa wa mhindi Kama unahitaji kumuua Leo ebu geuza mkeka na ikibidi jifanye hili goma umelisahau ila uzuri tunafanya kwa utashiii

Tukutane baada ya kipenda kuedit post

Liverpool ........-..... S/city
 
Jana shunie kuna paali alimquote nakumuita baby

Lakin aliomba radhi na mambo yakaenda sawia mkuu
Hahaaa Mzee mkavu $h ngap unalipwa?
Eeeeeeh alimuitaa nani??

Je aliyeitwa ulimfanyiaa kazi ???
Hatukukosea kukuita Jux kabisa.
Alimwita rogie

Hapana sikudil nae nilitaka kujua je? Shunie kajichanganya au alikuwa seleous nikafanya investigation nikabaini hakuna kinachoendelea ....

Ni hayo tu mkuu
Haya Bodyguard from Beijing endelea na kazi.
 
Ameeeen kaka paroko.
Uko poa lakini?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…