Ila tatizo ni bibi!!Uza tu mkuu
Mwezi wa tatu tu nilimkuta mtoto wa miez sita hospitali,anateseka sana sana mama ni binti mdogo,mume kakimbia so sadMadame sikupata kujua kabsa...sasa leo nimefunguliwa!!
wamama tuwaombee sana maana kukimbiwa wakati wa changamoto kama hz kupo hasa ukipata watoto wenye mapungufu ya viungo..Au ubongo Mungu atusaidie sana kuwa na hurumaDu ukienda kwenye mti huo siunakuwa Newton automatically!?JE WAJUA?
Mti ambao Isaac Newton alipongundulio Gravity bado mzima nje ya nyumba aliyokua anaishi utotoni.
It depend with your IQDu ukienda kwenye mti huo siunakuwa Newton automatically!?
Hili geni sijuiJE WAJUA?
Bible imetafsiriwa kwenda Klingon, Lugha ya allien iliyotumika katika muvi ya Star trek
WeeeweTulikukabidhi umtunze ona sasa mkutubi wetu kapotea au na yeye ametekwa kama wale wasanii?
Ila pacha wake niko hapa waweza kuwa na mm usijali.Weeewe
Unene kupindukia ni rafiki ya ugonjwa wa kisukari muhimu mazoeziJE WAJUA?
Viongozi wengi wa misri ya zamani wengi walikua wanene sana na walikua wanaumwa kisukari.
Hahaha paka akiondoka panya hutawalaIla pacha wake niko hapa waweza kuwa na mm usijali.
JE WAJUA?
Mti ambao Isaac Newton alipongundulio Gravity bado mzima nje ya nyumba aliyokua anaishi utotoni.
Hapana kulwa kutoka doto kutawala.Hahaha paka akiondoka panya hutawala
Njia ya haja kubwaNitafsirie hapo kwenye black maana nimekosa kiswahili chake.
PuruNimeogopa kunoana neno lile la mwisho .... In short nimejishika machoni![]()
![]()
![]()
Shusha picha bwana leo kamera man wangu kapotea.Njia ya haja kubwa
Wee ngoja akusikieHapana kulwa kutoka doto kutawala.
Tusemeje sasaWeeewe