Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,605
Tulikukabidhi umtunze ona sasa mkutubi wetu kapotea au na yeye ametekwa kama wale wasanii?Tumtafutee kapuku mwenzetu sasa
Tulikukabidhi umtunze ona sasa mkutubi wetu kapotea au na yeye ametekwa kama wale wasanii?Tumtafutee kapuku mwenzetu sasa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakuna mlango wa kutokea mi ningekimbia tu!!
I see!Bunge laomba uchunguzi wa matunzo ya Faru Fausta
![]()
BUNGE limeitaka serikali kutathimini gharama za matunzo zinazotumika kumtunza faru Fausta aliyepo katika Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro baada ya kubainika kuwa matunzo hayo yanagharimu Sh milioni 768 kwa mwaka.
Spika Ndugai aliiomba serikali kufanya tathimini hiyo wakati akijibu mwongozo ulioombwa na Mbunge wa Tunduma, Frank Mwakanjoka (Chadema) aliyetaka kujua msimamo wa Spika kuhusu ukubwa wa gharama za malezi ya faru huyo.
Mwakanjoka aliomba mwongozo huo baada ya awali Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe kueleza sababu za msingi za serikali kuendelea kumtunza faru huyo pamoja na matunzo hayo kugharimu fedha nyingi.
Profesa Maghembe alilazimika kutoa majibu hayo katika swali la nyongeza lililoulizwa na Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul (Chadema) aliyehoji sababu za serikali kutumia Sh milioni 64 kila mwezi kumtunza faru Fausta.
Waziri akijibu alisema; “Ni kweli yupo faru Fausta katika Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro. Faru huyu amezeeka kweli na amekuwa akisumbuliwa na maradhi mbalimbali.”
“Hata hivyo, tumekuwa tunalazimika kuendelea kumtunza kwa vile zipo tafiti mbalimbali zinaendelea kufanywa kwake ili kusaidia katika kujua namna sahihi za maisha ya wanyama hawa ambao wamekuwa adimu sana duniani.
“Ni muhimu kupata takwimu za wanyama hawa ili tujue namna nzuri ya kuwatunza, ingawa ni kweli kuwa matunzo ya faru Fausta yana gharama kubwa ambazo kimsingi ndio gharama zenyewe za uhifadhi,” alifafanua Profesa Maghembe.
Alisema serikali inafanya hivyo kwa nia njema kwa vile gharama hizo zina thamani halisi za maisha ya wanyama hao adimu duniani.
Majibu hayo ndiyo yaliyomfanya Mwakanjoka kuomba mwongozo huo wa Spika ili kujua kama zipo sababu kwa serikali kuendelea kutumia kiasi hicho kikubwa cha fedha kwa faru huyo mzee badala ya kuzielekeza kwenye matatizo ya wananchi.
NOTE: Faru Fausta ana miaka 54 alitimiza tarehe 29/1/2017 pia ni kipofu. Inasadikika ndiye Faru mzee kuliko wote duniani.
Huyo atakuwa ni ghali sana kumuona maana hayo matunzo yake sio mchezoSawa bana mnyama wa porin nitaenda kumuona nikipata nauli!!
Ndio hivyo mama mchungajiI see!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwana sasa Mimi nauza hata shamba la bibi ili nimuone huyo faruHuyo atakuwa ni ghali sana kumuona maana hayo matunzo yake sio mchezo
Karibu,pole kwa sim chargeNaleta je wajua? Mtanisaidia kuweka picha. Halafu nitakapo ishia baasi maana nowdays simu inanidumbua sana upande wa chaji.
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]JE WAJUA?
Mmoja kati ya watoto 5000 anazaliwa bila Anus.
Ni kweli nimewaona wengi na wanateseka sana maana hufanyiwa upasuaji na kupata haja kupitia tumbo,hata walezi wanateseka,tuwe tunapata muda kuwatembelea mahospitalini na kuwapa mahitaji sabuni,pampers,chakula ..good thing huwa wanarecover na kupata haja kawaida.Mungu yu mwema.JE WAJUA?
Mmoja kati ya watoto 5000 anazaliwa bila Anus.
Nitafsirie hapo kwenye black maana nimekosa kiswahili chake.[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Nimeogopa kunoana neno lile la mwisho .... In short nimejishika machoni[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nitafsirie hapo kwenye black maana nimekosa kiswahili chake.
Madame sikupata kujua kabsa...sasa leo nimefunguliwa!!Ni kweli nimewaona wengi na wanateseka sana maana hufanyiwa upasuaji na kupata haja kupitia tumbo,hata walezi wanateseka,tuwe tunapata muda kuwatembelea mahospitalini na kuwapa mahitaji sabuni,pampers,chakula ..good thing huwa wanarecover na kupata haja kawaida.Mungu yu mwema.
Hahaa mm simo.Nimeogopa kunoana neno lile la mwisho .... In short nimejishika machoni[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji15] [emoji15] [emoji15]JE WAJUA?
Mmoja kati ya watoto 5000 anazaliwa bila Anus.
Uza tu mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwana sasa Mimi nauza hata shamba la bibi ili nimuone huyo faru