Makapuku Forum

Makapuku Forum

BATTLE.
Kati ya Mfalme Solomon na Menghis Khan nani alilala na wanawake wengi?
Nikirudi nikute majibu ya hii battle
0a21578e72dc3fce8e7a7b41026f5f23.jpg
 
Mpenzi Shunie nakumis sana na nakupendaa sana na sina na hofu na wewe ulipo roho yangu ipo
e96c3406c4378b0999f51d60aa5759bf.jpg
nimeingia tu kapuku nakutana na ujumbe wako
nimekumiss pia lee wangu
nakupendaa nakupendaa yaan nakupenda wewe tu cheusi wangu

nikutakie usiku mwema ulale salama unijie ndotoni kama kawaida hii hali ya hewa acha i wish ungekuepo ndio hivyo ila jua nipo nyuma yako
 
Nothing to add dear .. inshort we are together ....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom