Makapuku Forum

Asante sana mkuu Transcend ubarikiwe.
Hakika umoja ni nguvu utengano ni udhaifu.

Pumzika kwa amani Hayati Mwl.Julius Kambarage Nyerere..daima tutakukumbuka..hekima zako na usemi wako tutautumia daima.

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Habari zenu wakuu hope mko wazima..siku hizi mahudhurio yangu hafifu

It Depend.
Ila be alike bro why don't want to reveal to your friends while they do to you.
Aaahaaaa umenifanya hadi niandike English yangu broken.
Usilazimishe sana huenda ni mvaa suti......

Mie mwenyewe I know nothing, na ndo mke mtarajiwa
 
Mwanzo kabisa, ilikuwa ni ajenda ya silaha za maangamizi lakini walipokosa wakaamua kuja na ajenda ya uhaligu dhidi ya binadamu.

Lakini uhalisia ni kuwa, Bush mdogo alikuwa analipa kisasi hasa baada ya baba yake kushindwa kwenye vita vya Ghuba na huyuhuyu Saddam.

So ni kama revenge flani hivi ndio maana Saddam alihukumiwa kulekule kwao Iraq na hakupelekwa ICC kwa kuwa angeweza kupewa kifungo kidogo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…