Makapuku Forum

1955 - Waziri Mkuu wa Uingereza Winston Churchill anajiuzulu wadhifa huo kwa sababu za kiafya.

Alishika wadhifa huo mara mbili tofauti. Anatajwa kama mmoja kati ya Mawaziri Wakuu bora katika siasa za Uingereza.

Ndio mtu wa kwanza kati ya Watu 8 pekee kupewa Uraia wa heshima katika Nchi ya Marekani.
 
R.I.P the late father of our nation
Mwl Julius Kambarage Nyerere
Hakika tutamkumbuka kwa mengi
 
Brooh!

Unanifahamu tayari kaka!

Kweli week zoote hizi bado tumekaa hapa makapuku bado hujapata kunifahamu?

Kwa kifupi basi na wengine wanifahamu..


Jina: Transcend M.

Jinsia: me

Age; 27

Kazi: mjasiria mali

Ndoa; uchumba na Sakayo

Bado nini tena mkuu?

Natumaini mmenifahamu sasa..!
 
Weka mawasiliano binafsi tuweze kuhack mkuu
 
2003 - Majeshi ya Marekani wanamkamata Kiongozi wa Iraq, Saddam Hussein na kuhitimisha Utawala wake nchini Iraq uliodumu kwa muda mrefu.

Saddam Hussein alikuwa ni mmoja ya viongozi wababe waliotikisa Dunia miaka ya 90.

Alinyongwa baada ya kupatikana na makosa ya uhalifu dhidi ya Binadamu.
 
Wanatakiwa wafanye kama Leicester kupoteza kila game washike no. 17 kama Wenge hajaondoka!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…