Rwanda hakuna mapenzi ya dhati na asikudanganye mtu Mrwanda hawezi kubeba mimba ya mtu asiyekuwa mrwanda lazima azae na mrwanda wewe utaishia kulea mimba na mtoto wakati mwenzio katia mimba...ogopa
Aaaaa wapi! Kila mtu anajidai ana mtu wake na PM zote ziko blocked. Wengine ma-single hapa tuko siriazi wenyewe wanafanya mzawa nyodo kibao. Ndo maana inabidi tuhamie Kigali kwa sababu hakuna namna!