Amen Nyagei. Yeye Ndiye na Bila Yeye sisi Ndisi! Ubarikiwe sana!!!
Psalms 150
Zaburi 150
Tumsifu Mungu pekee kwa maana yeye ndiye muamuzi wa yote katika maisha yetu,
Ametupa nguvu, uwezo na akili ya kupambanua mambo mbali mbali ili tuweze kumsifu yeye kupitia majaribu yanayotukumba kila siku.
Ewe Kapuku mwenzangu hebu jitafakari umefanya lipi la kumpendeza yeye mpaka sasa unapumua?
Be blessed kwa kunielewa.
USIKU MWEMA
Leta ji chura bac niongeze siku za kuishimzee wa churaushaingia mida yako hii
Mmh nenda jukwaa la wakubwa wamejaa teleLeta ji chura bac niongeze siku za kuishi
Umegeuka mwanafalsafa? Ulishafanikiwa kuibua mpendwa hapa au bado unasota kama mimi? Mambo hapa ni magumu mpaka mi nimeamua kuhamia Rwanda.Love is much more to life than thats words ,love is the key to open the door when they close in your face ,call your brother call your sister say love is my religion
Mambo mrembo!Forgiven shem...
Divinity!!!Thats very true...
Na wala hawakutembea siku zote..!
Utakumbuka hata wakati Mungu anamuita musa kumpa Ten commandments kule mlima sinai wana wa izrael walimsubiria..
Hawakutembea siku zote! And it was more than a zigzag movement..
TrancsendEee ! Hahahaa eti nyegei
Wewe jina lako kila mtu anakosea..
Langu kama mzizi ili wanapatia
PoaMambo mrembo!
Nakumisi dada mtumishi
Daaah mkuu hapa kila mtu ana mtu mkuuUmegeuka mwanafalsafa? Ulishafanikiwa kuibua mpendwa hapa au bado unasota kama mimi? Mambo hapa ni magumu mpaka mi nimeamua kuhamia Rwanda.
Acha ubaya ujue cio vyema hivyo
Mkuu mbona wadada wazuri wamo tu na wanasubiri useme neno nyoyo zao zifurahi!Umegeuka mwanafalsafa? Ulishafanikiwa kuibua mpendwa hapa au bado unasota kama mimi? Mambo hapa ni magumu mpaka mi nimeamua kuhamia Rwanda.
Leo nimekuja huku kwa makapuku nimekuta majina ya ajabu, eti mtu anaitwa Transcend. Huku kwetu hiyo ni USB Drive
Rwanda kwa QUIGLEY ni hatari. Yaani kuna mabinti warembo utadhani hawakuzaliwa hapa duniani. Nimetambulishwa kwa medical doctor mmoja hapa dah! Kuna hatari ya kulowea mkuu. Bila ShunieDaaah mkuu hapa kila mtu ana mtu mkuu
Aganza nampenda but anaweka ulokole mbele zaiid mkuu nimetumia mpaka njia za iblis kumuaproch yule kimwana kakataa katuu
Uko rwanda i wish na mimi nifike huko maana hakuna adha kama ambayo tunaipata sisi wa tz .......!
Hakyamama kuna mtu kakusaidia kujibuMkuu mbona wadada wazuri wamo tu na wanasubiri useme neno nyoyo zao zifurahi!