Makapuku Forum

1994 -Rais Juvenal Habyriamana wa Rwanda anauwawa mara baada ya ndege aliyokuwa amepanda kutoka Dar Es Salaam kutunguliwa ikijaribu kutua Nchini humo.

1994 - Rais Cyprien Ntaryamira wa Burundi anauwawa mara baada ya ndege aliyokuwa amepanda yeye pamoja na Rais wa Rwanda kudunguliwa ikikaribia kutua nchini Rwanda ikitokea Tanzania.
 
Leo Katika Historia:

1994 - Mauaji ya Kimbari nchini Rwanda yaanza ni baada ya kutokea mauaji ya Marais wawili wa Burundi na Rwanda kwa ndege waliyopanda kulipuliwa ikiwa inatokea Dar Ea Salaam.
Aksante Mkuu kwa ktujuza habari za huko nyuma
1984 - Baadhi ya Wanajeshi wa Jeshi la Cameroon wanajaribu kufanya Jaribio la Kupindua Serikali ya Rais wa Nchi hiyo Paul Biya lakini Jaribio hilo linashindikana.

Paul Biya yupo madarakani kwa miaka 37 mpaka sasa.

1938 - Paul Daniels anazaliwa.

Alikuwa ni mwanamazingaombwe kutoka nchini Uingereza.

Anatajwa kama mtu aliyeleta mapinduzi makubwa katika sanaa ya Mazingaombwe ulimwenguni.

1965 - Rafael Correa anazaliwa.

Ni Rais wa 54 wa nchi ya Ecuador.

1988 - Ivone Orsini anazaliwa.

Alikiwa ni Miss World mwaka 2008 akitokea nchi ya Puerto Rico.

1994 -Rais Juvenal Habyriamana wa Rwanda anauwawa mara baada ya ndege aliyokuwa amepanda kutoka Dar Es Salaam kutunguliwa ikijaribu kutua Nchini humo.

1994 - Rais Cyprien Ntaryamira wa Burundi anauwawa mara baada ya ndege aliyokuwa amepanda yeye pamoja na Rais wa Rwanda kudunguliwa ikikaribia kutua nchini Rwanda ikitokea Tanzania.

2000 - Habib Bourguiba anafariki Dunia.

Alikiwa ni Rais wa kwanza wa Tunisia.
 
H.B.D na pole Fabrice Mwamba..Mungu awe pamoja nawe daima na umtumikie, hakika Muda wako ulikuwa bado mshukuru sana Mungu ,dk 78 ni saa nzima na dk 18,nakumbuka kuna tangazo zamani lilisema ..moyo wangu ukiacha kufanya kazi ingawaje kwa dk tatu..uhai wangu umetoweka...ni kwa neema yupo hai.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…