Makapuku Forum

Usiku mwema my swetie! ..

Ulale salama mke wa maisha yangu..

Mungu akulinde...


Nawatakia wote usiku mwema
Nililala salama mume wangu, naamini na wewe umeamka salama!!!

Naelekea kwenye zoezi then nijiandae kwa ajili ya kazini!!!

Mume wangu T, kuna ambalo liko nje ya akili zangu ndo maana hunioni humu toka juzi ila Usijali niko salama ni mambo ya kazi tuu....

Nakupenda,, wasalimie wana kapuku!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…