Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
mume wangu
kinachokuchesha Rogie hivi una mpango wa kunivunjia ndoa au ujue sikuelewi kabisaHehehehe
JE WAJUA?
NGE anaweza
haya maneno yako very inspired baba kumwambia mwanae.
ipo poa sana nimewahi kuicheki![]()
Eanazurura na mibegi mwanzo mwisho
.....
Sawa tunakuombea ila ni vema utuambie hiyo ni biashara gani unayo ifanya usiku na mchanaJamani naombeni mniombee biashara zangu ziende vizuri
God will make the way just be faithful!!Jamani naombeni mniombee biashara zangu ziende vizuri
Na hii niliyokua naangalia au n marudio mbeya city na mtibwa mda mfupi uliopita
Asantee mkuu haya mambo tumeyamisi kapukuThe Pursuit Of Happyness
Hii ni filamu ilivyochezwa takribani miaka 11 iliyopita, wahusika wakuu wakiwa ni Will Smith na mwanae Jaden, imechezwa mwaka 2006. Kuna mambo mengi yakujifunza katika filamu hii lakini kikubwa zaidi ni kuona jinsi mwanaume ukipigika hata mkeo aweza kukukimbia.
Katika filamu hii mwanaume anayeitwa Christopher Gardiner akiwa na mwanae wa kiume wanapitia katika kipindi kigumu, mpaka hata kufukuzwa kwenye nyumba.
Lakini pamoja na yote hakukata tamaa na hatimaye akafanikiwa kupata kazi.
Download hapo chini kwa torrent.
You are being redirected... 720p 750MB
You are being redirected... 1080p 1.5 GB
The Pursuit of Happyness - Wikipedia
Who is Lee?
mume wangu
Wala usiofu Leo utapata wateja wa kutoshaJamani naombeni mniombee biashara zangu ziende vizuri
Sasa nimerudi nilikuwa kazini jombaaa shunie mzimaSoudy mzee mkavu tunakosa mambo yako
usistuke bhna kila post yangu yakwanza lazima nimtaje shunie

Achana naekinachokuchesha Rogie hivi una mpango wa kunivunjia ndoa au ujue sikuelewi kabisa
Sawa tunakuombea ila ni vema utuambie hiyo ni biashara gani unayo ifanya usiku na mchana
Samahani mkuu1976 - Simone Inzaghi anazaliwa.
Straika wa zamani wa Lazio na timu ya taifa ya Italia.
Ni kaka wa Phillip Inzaghi, mshambuliaji wa zamani wa Ac Milan na timu ya taifa ya Italia.
japo ni nje na unachokizungumzia apo juu please naomba kujua story kumuhusu mahatima
Wanakapuka nawasalimia kwa jina lipitalo majina yote!!!??